Wakuu mniombee nafanyiwa upasuaji kesho

04:11AM

Leejay49 - keep the right perspective in ur treatment journey.

We all face challenges but choose to stay greatful .


Don't make ur problems bigger but make God bigger ✊🏿
 
Pole sana MWENYEZI MUNGU AKUTANGULIE KATIKA KILA KITU HAKUNA KINACHOSHINDIKANA KWAKE,🙏😔 TUTAKUOMBEA DADA MKUBWA
 
Usiogope, Mungu yu nawe,
Ukuu wake ni wa kipekee,
Yu mfariji, yu mponyaji!
 
Niwie radhi lakini muda ule bantu katupia vocha hukuwa online? Basi nilimaanisha hao jina lako na vice ni mepesi ndo maana nikawatag na kampuni yote

Lakini dada ni km mama wa kambo haya mje tumfariji mrembo wetu si unaona km anaogopa op hivi,
Watu wa vocha wakijifungia kwenye uzi wao hata kinachoendelea huku nje hawataki kujua😂
 
Na feel what you feel pole Sanaa mwenyezi Mungu akujalie kwa uwezo wa mwenyezi Mungu.

Najua Maumivu yanafananaje dunia tunaipenda na hatutamani kuiacha hasa hasa tukiwa kwenye peak.. nimepitia Maumivu pia sikujua Kama ntaweza Rudi kutembea tenaa now natembea.

Mwenyezi Mungu mwenye nguvu atakutetea na utarud Kama zamani all the best
 
Pole sana Ndugu Mungu akufanyie wepesi ktk ugonjwa huo.
 
Pole sana tajiri
 
Kwa Kuwa Umemuita Mungu Atakusikia.
Mungu azipokee sadaka zako na Akutimizie haja zako sawa na Mapenzi Yake. Amina
 
Mingu akusaidie operation iende salama na upone kwa haraka.
 
Oparesheni ni sehemu ya tiba Sasa wewe unaogopa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…