Wakuu mniombee nafanyiwa upasuaji kesho

Wakuu mniombee nafanyiwa upasuaji kesho

Amen 🙏 🙏🙏,.
Naomba niwajibu tu wote kwa pamoja maana nikisema zote mojamoja nitakesha,.
Niliweka uzi humu kua nimeumwa sana Malaria and for almost miezi inaenda minne sasa tangu dawa na sindano za malaria ziniaffect masikio pamoja na uono hafifu,.
Tulipambana sana walau jicho moja liko vizuri kabisa lakini moja ndio halioni pamoja na masikio hayasikii kabisa,.
Nimefanya vipimo vyote,. Baadhi ya mishipa ya fahamu ya macho na masikio imezibwa na ukungu,.. Inabidi izibuliwe

Kwa waliouliza Hospitali ni Hospitali ya private
Pole sana , shida imeleta matatizo..🤔🤔...MMungu akusimamie na uwe na imani,utashinda!
 
Back
Top Bottom