Wakuu mniombee nafanyiwa upasuaji kesho

Wakuu mniombee nafanyiwa upasuaji kesho

Habari za jioni wakuu,.

Nimeogopa isije nikashindwa kurudi tena baada ya mda,.

Mungu akipenda kesho nitakua nikifanyiwa upasuaji wa Jicho pamoja na sikio,. Mniombee nirudi nikiwa salama kama mwanzo,..

Sikua napenda kufanya hivi ila ndio last option niliyobakiwa nayo Baada ya kujaribu na kubadilishiwa dawa for almost miezi miwili,. Madaktari wamesugget nifanye hiyo

Mniombee sio tu nitoke salama,. Pia niweze kupona nisike na kuona kama mwanzo🙏🙏🙏
Mwenyezi Mungu akujalie kupona kwa haraka na kukupa afya njema
 
Tatizo ishu n serious afu yeye anaanza kuleta lawama mapema, n bora angetag mara ya kwanza afu akiona kimya ndio aandike hvy alivyoandika.

Sema ukweli kaniboa sana
Usijali mkuu walimwengu ndivyo tulivyo"lawama nyingi" me enyewe taarifa nimeona baada ya wewe kuposti kule ndio nikaja. Usijali wala..... puuzia tu
 
Dada unakosea sana kusema tunatia aibu, ilipaswa ututag tuu inatosha mana mm ndo nmeona huu uzi muda huu ht ulivyonitag sikuona
Niwie radhi lakini muda ule bantu katupia vocha hukuwa online? Basi nilimaanisha hao jina lako na vice ni mepesi ndo maana nikawatag na kampuni yote

Lakini dada ni km mama wa kambo haya mje tumfariji mrembo wetu si unaona km anaogopa op hivi,
 
Ms Leejay49 🙏 kila kitu kitakuwa sawa na utapona haraka Swahiba wetu ❤️.
Umeni bless na bando la wiki 😊😊😊
downloadfile-50.jpg

IMG-20240813-WA0037.jpg
 
Niwie radhi lakini muda ule bantu katupia vocha hukuwa online? Basi nilimaanisha hao jina lako na vice ni mepesi ndo maana nikawatag na kampuni yote

Lakini dada ni km mama wa kambo haya mje tumfariji mrembo wetu si unaona km anaogopa op hivi,
Nikiwa kwenye ule uzi hua siangalii notification mana najua nyingi zinakuwa za Likes za ule uzi, na hata kama nngeona ulivyonitag muda huo huo ilikupasa uandike kistaarabu tuu, lkn ww tag hy hy ya kwanza lkn tayr unaongea mbovu.

Usiwe hvy aisee, binafsi umeniboa sana.
 
Habari za jioni wakuu,.

Nimeogopa isije nikashindwa kurudi tena baada ya mda,.

Mungu akipenda kesho nitakua nikifanyiwa upasuaji wa Jicho pamoja na sikio,. Mniombee nirudi nikiwa salama kama mwanzo,..

Sikua napenda kufanya hivi ila ndio last option niliyobakiwa nayo Baada ya kujaribu na kubadilishiwa dawa for almost miezi miwili,. Madaktari wamesugget nifanye hiyo

Mniombee sio tu nitoke salama,. Pia niweze kupona nisike na kuona kama mwanzo🙏🙏🙏
Soma zaburi 46 yote
 
Back
Top Bottom