mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Hospitali gani kama ni Muhimbili nicheki tuongeze nguvu nina mdogo wangu soecialist wa ENTHabari za jioni wakuu,.
Nimeogopa isije nikashindwa kurudi tena baada ya mda,.
Mungu akipenda kesho nitakua nikifanyiwa upasuaji wa Jicho pamoja na sikio,. Mniombee nirudi nikiwa salama kama mwanzo,..
Sikua napenda kufanya hivi ila ndio last option niliyobakiwa nayo Baada ya kujaribu na kubadilishiwa dawa for almost miezi miwili,. Madaktari wamesugget nifanye hiyo
Mniombee sio tu nitoke salama,. Pia niweze kupona nisike na kuona kama mwanzo🙏🙏🙏