Wakuu Msaada: Biashara haiendi ghafla, nifanyeje?

Ushapigwa mazingaombwe....

Watu wakija wanaona kama DUKA LA MKAA VILE.... AU DUKA LA MAJANI YA KULISHIA NG'OMBE VILE 😏😏😏
 
Mkuu Hata kiswahili Cha kidato Cha tatu ulifeli?.

Mwandishi ana mbinu mbalimbali za uandishi.


Nakurahishia wee kilaza kuelewa.


Nilikua na Mwanamke ,nilimkuta ni mtalaka.


Nikawa naye, baadae akabeba ujauzito.


Bahati mbaya wakati wa kujifungua Kuna shida mtoto alipata.


Sasa kuepusha usumbufu wa kuombwa Hela Kila Mara.

Nikajipanga ,Nikafungua Duka hili la nguo., Nikamwambia. usimamie ,kwaajili ya mtoto wetu .


Nikamuwekea kijana awe muuzaji,, ila muda mwingi autumie Kwa mtoto wetu .Yeye pia Huwa anaenda Kila siku Jion na wikiendi anashinda muda wote.


Sasa Mzigo wa Duka Huwa ni lazima Mimi ndio niagize, Mimi ndio nifate, au kama kutumwa, utumwe niupokee Kisha niwapelekee Dukani... Umenielewa bwana Kilaza !!.


Kwa Ivo, mambo yote yanapotokea lazima nijuzwe.


Kwa akili yako hii, Wacha tu CCM ya MsogaGang, iendelee kutunyoosha.
 
Chuma ulete hiyo......

Nenda kwa Mwamposa nunua maji ya upako au mafuta ya upako uje umwagie hapo...........utakuja kutoa ushuhuda mwenyewe humu.
Mkuu Mwamposa alikuja Mkoan , Bidada alinunua Katoni Moja la maji, na mafuta vichupa vitano.

Ila hamna kitu Mkuu, sio kwamba namsemea vibaya Mwamposa.
 
Shusha bei
Mkuu inawezekana Moja ya Sababu nayopatia watejani bei ndogo.


Huwa nawaambia wauze bei ya kawaida, inafikia wakati, wauzaji wengine wanakuja Kumzodoa kijana ,kwamba kwann anauza bei ndogoo!!.



Kwa mfano..Msimu Huu wa Mfungo wa Kiislam, Niliwambia washushe bei ya mavazi yote ya Kiislam , kuanzia wakubwa mpaka watoto.
 
Pole sana ila uliwahi kuwakumbuka wazazi hivi karibuni? Sadaka unatoa? Ulishajihusisha na hawa wachungaji wa mchongo?
Bidada hapo Kwa wachungaji wa mchongo anawafagilia sana.

Kuna kipindi mpaka akaagiza mafuta upako kutoka Kenya.
 
Mkuu umesha tengenezwa hapo biashara ukifanya mchezo utalifunga hilo duka lako la nguo.Nitafute kwa wakati wako ili niweze kupatengeneza upate wateja wengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…