Wakuu Msaada: Biashara haiendi ghafla, nifanyeje?

Kwa Sasa niliamua Kumtegemea Yesu, masuala ya waganga niliachana nayo Toka kile kipindi Cha Jaji na Kesi yetu ya Shamba.

Ila nahitaji Mbinu mnazotumiaga kuondoa mabalaa kama haya Kwenye Biashara zenu
Ungelikua unamtegemea Yesu huyu tunayemjua wala usingekuja hapa ungemwambia huko sirini. Hakika hutauza kwelikweli mpaka umtegemee ipasavyo
 
Tuanzie hapo, hilo fungu la kumi ukitoa kanisani anayelichua na kunufaika nalo nani? Ukinijibu na mimi naanza kutoa
 
Kwa Sasa niliamua Kumtegemea Yesu, masuala ya waganga niliachana nayo Toka kile kipindi Cha Jaji na Kesi yetu ya Shamba.

Ila nahitaji Mbinu mnazotumiaga kuondoa mabalaa kama haya Kwenye Biashara zenu
Mshika mawili moja humponyoka.
 
Panapokaa pesa dukani weka kipande cha Mkaa.
Acha dharau
Mila zetu ni Muhimu kuliko Elimu zenu
 
Hakuna uchawi changamoto tu za biashara.
 
Kama wewe ni muislamu fungu la kumi utapelekea wapi na pia ni lazima iwe jumapili? Hilo fungu ni wakristo tuu au ni kwaajili ya wakristo vp kama huyu mtu muislamu utamsaidiaje? Utamshauri vp manake wafanyabishara wengi tunatokewa na hiki kitu.
 
S

Sawa mkuu ILA nadhani kasema anamuamini yesu sishani kama msikitini anahubiriwa yesu kristo tuliza akili usome tena
 
Tuanzie hapo, hilo fungu la kumi ukitoa kanisani anayelichua na kunufaika nalo nani? Ukinijibu na mimi naanza kutoa
Sidhani kama wewe ndo uliyetoa Huu uzi nimemwambia na kalipokea KWA sababu anaamini katika yesu kristo, siwezi kusema lolote sijui kama unaamini katika yesu kristo kama mtoa mada alivyosema, baki njia YAKO na mtoa mada alikuwa very precisely ndio maana nikampa huo ushauri, kunufaika hakuwezi kukuhusu wewe ambaye sijui hata unaamini nn.
 
Humu sio mahali pake
 
Hapo ndipo tatizo linapoanzia, naomba kifungu kinachoonyesha inabidi kuwapa fungu la kumi viongozi wa dini?
 
Sijamaliza kusoma. Ila wewe unajifunza biashara. Utahanvaika sana, nami nafanya biashara kama yako. Bodo una safari ndefu hadi uijui hii biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…