NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
mkuu nini hii ipo sehemu ganiOnedrive auto backup [emoji23][emoji23]
Itakuwa kwenye auto updates download and installKICHWA Cha habari kinajieleza wakuu yaani naeweza kufungu app ya JAMII forum Lakini MB zinatembea vibaya mno katika GB 4 zinakauka fasta.
Wakuu inaweza kuwa shida Nini na nifanye Nini Kama Kuna setting nimejichanganya nisaifieni wakuu.
Nawsasilisa swali
MkuuKICHWA Cha habari kinajieleza wakuu yaani naeweza kufungu app ya JAMII forum Lakini MB zinatembea vibaya mno katika GB 4 zinakauka fasta.
Wakuu inaweza kuwa shida Nini na nifanye Nini Kama Kuna setting nimejichanganya nisaifieni wakuu.
Nawsasilisa swali
Hiyo ni tempo solution maana PC iki restart itarudia mchezo ule ule.Fuata hizi hatua kuzima kabisa windows updates ili MB zako zisiliwe hivyo,
Click window then X
Run
Andika services.msc
List itakayokuja gusa yoyote halafu W
Tafuta Windows Updates
Right click halafu properties
Kwenye updtes utakuta manual au enabled , bonyeza hapo halafu chagua
Disabled
Maliza kwa Ok then Apply
Restart PC
Itakuwa fresh
Ikifeli hiyo ipo njia nyingine
kumbe na wewe ni mwana hiphop nimesitika sana mtu uansikiliza hiphop halafu unakuwa shabiki wa makoloHiyo ni tempo solution maana PC iki restart itarudia mchezo ule ule.
Hiyo option kwangu haikuweza kuwa msaada na niliifanya kwa PC tatu tofauti.
Njia pekee ambayo ilionekana kuwa hopefully ni kuiset wifi katika metered connection
Metered connection ni njia ya utunzaji data kwa kuzuia baadhi ya apps zisiweze kupata access ya internet, na windows updates ikiwemo.
NB: huyu mtoa mada ni Gongowazi, leo tunampa msaada kunusuru vi MB vyake afu baadae anakuja kutuletea shombo kwenye jukwaa la sports.
Sasa ulijua mi namsimiliza zuchu??kumbe na wewe ni mwana hiphop nimesitika sana mtu uansikiliza hiphop halafu unakuwa shabiki wa makolo
oya huyo kinya wa mistari nilimskiliza kwenye dakika kumi za maangamizi mwana anajua kuandika sana aise
safi sana mdogo wang nilijua hiphop naisikiliza mimi tuSasa ulijua mi namsimiliza zuchu??
Afu kuna mstari hapo kumhusu zuchu wenu.
"Pita na yako usitoe macho hayakuhusu", "huyo baunsa wako kwenye chochoro ni zuchu..."
Kinya Mistari
Mi sio mdogo wako, mi baba yakosafi sana mdogo wang nilijua hiphop naisikiliza mimi tu
Set your network as metered..
This prevents most Windows services from causing unnecessary data usage
Steps:-
To set a Wi-Fi network connection as metered in Windows, you can do the following:
- Select Start > Settings > Network & Internet > Wi-Fi > Manage known networks
- Select the Wi-Fi network > Properties > turn on Set as metered connection
mkuu umetisha sana na ubarikiwe katika shughuli zako za kubetiSet your network as metered..
This prevents most Windows services from causing unnecessary data usage
Steps:-
To set a Wi-Fi network connection as metered in Windows, you can do the following:
- Select Start > Settings > Network & Internet > Wi-Fi > Manage known networks
- Select the Wi-Fi network > Properties > turn on Set as metered connection
Itakuwa ni window ina-update. Itabidi ukasimamishe zoezi la kupokea update na ku-install yenyewe na uruhusu kwa wakati utakao.KICHWA Cha habari kinajieleza wakuu yaani naeweza kufungu app ya JAMII forum Lakini MB zinatembea vibaya mno katika GB 4 zinakauka fasta.
Wakuu inaweza kuwa shida Nini na nifanye Nini Kama Kuna setting nimejichanganya nisaifieni wakuu.
Nawsasilisa swali
shkurani sana mkuu nimejifunza kituItakuwa ni window ina-update. Itabidi ukasimamishe zoezi la kupokea update na ku-install yenyewe na uruhusu kwa wakati utakao.
Lakini, hizi update za window nazo ni muhimu sana kwani huboresha utendaji wa computer na softwares zake kwa ujumla.
Ndiyo maana kwa utendaji wa sasa ni vizuri kutumia huduma za internet ambazo ni unlimited ili uwe huru kwa hizi update.
Ova
Inshallah!mkuu umetisha sana na ubarikiwe katika shughuli zako za kubeti
shukiurani sana mkuu kwa kunipa funzoPia angalia Real Time protection, km iko on pia inachangia maana ina auto update