Ada hapo inaonesha una backup hadi ya jana tar 29 kwahiyo utapata call logs hadi za jana.
Kama una android 15 inawezekana kuna option kwenye settings kama una android za zamani ni mpaka areset simu wakati wa ku initialise pale ndio zina rudi.Ada hapo inaonesha una backup hadi ya jana tar 29 kwahiyo utapata call logs hadi za jana.
File dogo sema. Extension yake ni ipi? Chief-Mkwawa msaada zaidi.
Nafkiri android zote zina hio feature.Pixel hawana "notification history" kwenye settings kama samsung? Chief-Mkwawa ?