Wakuu Naomba mchango wa mawazo yenu kwenye hii research title hapa

Afisa_Nkai

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2025
Posts
504
Reaction score
1,071
Ni matumaini yangu mko salamaa!
Mimi niko salamaa sijui ninyi huko,
Mnaoumwa poleni, na wenye changamoto za hapa na pale poleni pia.

Niende kwenye lengo, nataka niandae research proposal kwa kutumia hii title “A Critical Analysis of Abortion Laws in Tanzania and Their Impact on Women’s Reproductive Rights”

Lakini nakutana na ugumu kwenye vipengele viwili ambavyo ndiyo moyo wa research proposal vipengele hivi ni

1. Literature Review
Katika sehemu hii natakiwa nionyeshi nini watafiti, wanazuoni na taasisi mbalimbali tayari wameandika kuhusu utoaji mimba na haki za uzazi. lakini sipati article na machapisho yaliandika deep kuhusu Abortion hasa kwa Tanzania.

2. Statement of the problem
Hapa natakiwa kueleza tatizo halisi linalonifanya nifanye utafiti huu.
Licha ya juhudi za kimataifa na kitaifa za kulinda haki za wanawake na kupunguza vifo vya kina mama, Tanzania bado ina mfumo wa kisheria unaodhibiti kwa ukali utoaji mimba. Sheria hizi zinahalalisha utoaji mimba katika mazingira machache sana, hali ambayo inalazimisha wanawake wengi kutafuta huduma zisizo salama kwa siri. matokeo yale ni kuendelea kuwepo kwa utoaji mimba usio salama na hii kupelekea madhara ya kiafya na vifo vinavyoweza kuzuilika.

Ombi langu kwenu wakuu ni hili
Hapo kwenye literature review kama kuna article zimeongelea abortion hasa za hapa nyumbani Tanzania Naomba, pili kwenye statement of the problem naomba kama kuna other laws zinazogovern abortion apart from penal code CAP. 16. R.E 2023 under section 151 pale.
Au kama kuna mawazo tofauti pia naombeni, Nitashukuru sana
 
Kwa maana hiyo ni vema ungepanga kwanza sections ujue kuanzia introduction mpaka conclusion una section zipi na sub section zipi then ukiingia scholar websites wewe ni kudownload papers zinazo endana na kila sections

Lakini nimeona kuna papers zinagusia abortion ila swala litakuja structure ya dissertation yako ina nini huko ndani? Na details za ndani zitakuwezesha wewe kudownload paper ya namna gani kwa ajili ya dissertation

Sababu unaweza andika introduction part then main body ikakosa maelezo kwahiyo pitia vizuri au kama inawezekana shirikiana na mwalimu wako (supervisor) ili muone vipengele vya kuweka huko ndani

sababu title ni swala la mwisho kabisa baada ya uundaji wa parts za manuscript yoyote ile

Note research gaps zinakuwa detected na idadi ya papers ulizo soma, huwezi andika kitu full bila kujua kama una andika kazi ya mtu au laah, kwa namna hiyo pitia scholars websites soma kazi zote zinazo relate then weka yako vizuri kuendana na ambacho hakija andikiwa
 
Sijaona "Information gap" hapo. Sijaona "What is actually missing".

Jaribu kutoa "critical analysis" weka "The impact of....."

Kupata title nzuri jaribu summarize your study's core topic na ueleze "information gap" kwenye title husika.
 
Sijaona "Information gap" hapo. Sijaona "What is missing".

Jaribu kutoa "critical analysis" weka "The impact of....."

Kupata title nzuri jaribu summarize your study's core topic na ueleze "information gap" kwenye title husika.
Asante nitafanya hivyo
 
Kwa maana hiyo ni vema ungepanga kwanza sections ujue kuanzia introduction mpaka conclusion una section zipi na sub section zipi then ukiingia scholar websites wewe ni kudownload papers zinazo endana na kila sections

Lakini nimeona kuna papers zinagusia abortion ila swala litakuja structure ya dissertation yako ina nini huko ndani? Na details za ndani zitakuwezesha wewe kudownload paper ya namna gani kwa ajili ya dissertation

Sababu unaweza andika introduction part then main body ikakosa maelezo kwahiyo pitia vizuri au kama inawezekana shirikiana na mwalimu wako (supervisor) ili muone vipengele vya kuweka huko ndani

sababu title ni swala la mwisho kabisa baada ya uundaji wa parts za manuscript yoyote ile

Note research gaps zinakuwa detected na idadi ya papers ulizo soma, huwezi andika kitu full bila kujua kama una andika kazi ya mtu au laah, kwa namna hiyo pitia scholars websites soma kazi zote zinazo relate then weka yako vizuri kuendana na ambacho hakija andikiwa
Asante sana mkuu
 
Ni matumaini yangu mko salamaa!
Mimi niko salamaa sijui ninyi huko,
Mnaoumwa poleni, na wenye changamoto za hapa na pale poleni pia.

Niende kwenye lengo, nataka niandae research proposal kwa kutumia hii title “A Critical Analysis of Abortion Laws in Tanzania and Their Impact on Women’s Reproductive Rights”

Lakini nakutana na ugumu kwenye vipengele viwili ambavyo ndiyo moyo wa research proposal vipengele hivi ni

1. Literature Review
Katika sehemu hii natakiwa nionyeshi nini watafiti, wanazuoni na taasisi mbalimbali tayari wameandika kuhusu utoaji mimba na haki za uzazi. lakini sipati article na machapisho yaliandika deep kuhusu Abortion hasa kwa Tanzania.

2. Statement of the problem
Hapa natakiwa kueleza tatizo halisi linalonifanya nifanye utafiti huu.
Licha ya juhudi za kimataifa na kitaifa za kulinda haki za wanawake na kupunguza vifo vya kina mama, Tanzania bado ina mfumo wa kisheria unaodhibiti kwa ukali utoaji mimba. Sheria hizi zinahalalisha utoaji mimba katika mazingira machache sana, hali ambayo inalazimisha wanawake wengi kutafuta huduma zisizo salama kwa siri. matokeo yale ni kuendelea kuwepo kwa utoaji mimba usio salama na hii kupelekea madhara ya kiafya na vifo vinavyoweza kuzuilika.

Ombi langu kwenu wakuu ni hili
Hapo kwenye literature review kama kuna article zimeongelea abortion hasa za hapa nyumbani Tanzania Naomba, pili kwenye statement of the problem naomba kama kuna other laws zinazogovern abortion apart from penal code CAP. 16. R.E 2023 under section 151 pale.
Au kama kuna mawazo tofauti pia naombeni, Nitashukuru sana
Impact na effect inaendana sana ila impact ni pana zaidi kama unataka lecture asikuzingue sana toa neno critical analysisi na neno impact weka effect.. alafu ukitaka kupata analysis nzuri ya data zako tumia IBM -spss ( statistical parkage for social science )

Kwa uelewa wangu kwenye literature review . Jaribu kureview research mbili tatu za waliopita alafu uonyeshe research gap zao na ulitafutie solution kupitia hii research yako...
 
Asante sana mkuu nashukuru.
 
Ni matumaini yangu mko salamaa!
Mimi niko salamaa sijui ninyi huko,
Mnaoumwa poleni, na wenye changamoto za hapa na pale poleni pia.

Niende kwenye lengo, nataka niandae research proposal kwa kutumia hii title “A Critical Analysis of Abortion Laws in Tanzania and Their Impact on Women’s Reproductive Rights”

Lakini nakutana na ugumu kwenye vipengele viwili ambavyo ndiyo moyo wa research proposal vipengele hivi ni

1. Literature Review
Katika sehemu hii natakiwa nionyeshi nini watafiti, wanazuoni na taasisi mbalimbali tayari wameandika kuhusu utoaji mimba na haki za uzazi. lakini sipati article na machapisho yaliandika deep kuhusu Abortion hasa kwa Tanzania.

2. Statement of the problem
Hapa natakiwa kueleza tatizo halisi linalonifanya nifanye utafiti huu.
Licha ya juhudi za kimataifa na kitaifa za kulinda haki za wanawake na kupunguza vifo vya kina mama, Tanzania bado ina mfumo wa kisheria unaodhibiti kwa ukali utoaji mimba. Sheria hizi zinahalalisha utoaji mimba katika mazingira machache sana, hali ambayo inalazimisha wanawake wengi kutafuta huduma zisizo salama kwa siri. matokeo yale ni kuendelea kuwepo kwa utoaji mimba usio salama na hii kupelekea madhara ya kiafya na vifo vinavyoweza kuzuilika.

Ombi langu kwenu wakuu ni hili
Hapo kwenye literature review kama kuna article zimeongelea abortion hasa za hapa nyumbani Tanzania Naomba, pili kwenye statement of the problem naomba kama kuna other laws zinazogovern abortion apart from penal code CAP. 16. R.E 2023 under section 151 pale.
Au kama kuna mawazo tofauti pia naombeni, Nitashukuru sana
Statement of the problem bado haijasimama. Sheria tayari ina katazo la kutoa mimba isipokuwa mazingira machache yaliyoruhusiwa. Kama wanakiuka sheria iliyopo, hiyo ni ishu ya compliance tu.
 
Back
Top Bottom