Wakuu Naomba Naomba mchango wa mawazo yenu kwenye hii research title hapa.

Afisa_Nkai

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2025
Posts
504
Reaction score
1,071
Ni matumaini yangu mko salamaa!
Mimi niko salamaa sijui ninyi huko,
Mnaoumwa poleni, na wenye changamoto za hapa na pale poleni pia.

Niende kwenye lengo, nataka niandae research proposal kwa kutumia hii title “A Critical Analysis of Abortion Laws in Tanzania and Their Impact on Women’s Reproductive Rights”
Lakini nakutana na ugumu kwenye vipengele viwili ambavyo ndiyo moyo wa research proposal vipengele hivi ni
1. Literature Review
Katika sehemu hii natakiwa nionyeshi nini watafiti, wanazuoni na taasisi mbalimbali tayari wameandika kuhusu utoaji mimba na haki za uzazi. lakini sipati article na machapisho yaliandika deep kuhusu Abortion hasa kwa Tanzania.
2. Statement of the problem
Hapa natakiwa kueleza tatizo halisi linalonifanya nifanye utafiti huu.
Licha ya juhudi za kimataifa na kitaifa za kulinda haki za wanawake na kupunguza vifo vya kina mama, Tanzania bado ina mfumo wa kisheria unaodhibiti kwa ukali utoaji mimba. Sheria hizi zinahalalisha utoaji mimba katika mazingira machache sana, hali ambayo inalazimisha wanawake wengi kutafuta huduma zisizo salama kwa siri. matokeo yale ni kuendelea kuwepo kwa utoaji mimba usio salama na hii kupelekea madhara ya kiafya na vifo vinavyoweza kuzuilika.

Ombi langu kwenu wakuu ni hili
Hapo kwenye literature review kama kuna article zimeongelea abortion hasa za hapa nyumbani Tanzania Naomba, pili kwenye statement of the problem naomba kama kuna other laws zinazogovern abortion apart from penal code CAP. 16. R.E 2023 under section 151 pale.
Au kama kuna mawazo tofauti pia naombeni, Nitashukuru sana
 
Ukitazama parts za proposal utaona kuwa statement of the problem na literature review zinatangulia kabla ya research topic. Hii sio bahati mbaya bali ndivyo inavyopaswa kuwa, yaani hivyo viwili ndivyo huzaa “research topic” yako.

Kwa muktadha huo, shida ipo kwako kwa kuwa umepata research topic kabla ya kuwa na statement of the problem na kufanya literature review.

Statement of the problem kwa kifupi huzungumzia uwepo wa tatizo/changamoto/fursa ambayo inamsukuma mtu kutaka kufanya research then ukishaona uhitaji huo ndipo unafanya literature review kwa maana ya kuona watu wengine wametafiti nini kuhusiana na topic unayowaza kuifanyia research. Katika kupitia research za wengine sasa (literature review) ndipo utadevelop “research gap” ambayo ndiyo possible reseach topic unayoona haijafanyiwa research na hapo ndipo utaandaa proposal kuonesha uhitaji wa kufanya research kwenye topic husika.

Sasa kwa mujibu wa maelezo yako we unayo topic kabla hata ya kufanya hayo mawili ndio maana unapata shida kupata reviews, japo bado ungeweza kupata reviews baada ya kutengeneza research topic ila changamoto nyingine ni topic uliyo chagua pia, kama ulivyosema haina reviews nyingi kwa mazingira yetu.

Ushauri:
Tafuta topic nyingine kuhusiana na abortion ambayo ina literature reviews hata tatu tu ukipata zinatosha kujustify research topic yako ilimradi tu iwe haijawahi fanywa na mtu mwingine ktk eneo husika.

Nyongeza:
Unaweza kupata research topic kwa;
1. Personal experience
2. History from people about the problem
3. Literature reviews
 
Asante sana mkuu nashukuru kwa ufafanuzi mzuri nalifanyia kazi
 
Back
Top Bottom