Kuna ushahidi kuwa umeiba? Na je uliiba kweli?Kwema Wakuu.
Yamenikuta majanga wakuu mpaka kufikishana polisi then baadae mahakamani kwa Madai ya wizi(mashine za kampuni). Ilinipa changamoto sana katika hatua za mwanzo kutatua hii changamoto pesa zilikuwa zinanitoka tu lakini hakuna matumaini.
Kuanzia polisi mpaka mahakamani na mpaka sasa kesi bado haijaisha hivyo naombeni uzoefu/stori zenu wakuu mlitatua vipi changamoto kama hizi?
Pesa unapenyeza mkuu lakini inakuwa too much cuz kila kona wanataka pesa alafu issue haiwi solved, pia inauma sana unatoa pesa nyingi kwenye kesi ambayo si kweli at least ningekuwa nimepiga deal kweli.Rushwa adui wa haki, geuza hii methali katika positive side utanishukuru baadae
Wakili kwemaππUzuri wa kesi za jinai ni kama ushahidi ume nyooka una enda ila kama ushahidi una walakini ata kidogo una pona, kwani sio kazi yako kuthibisha kama uliiba iyo ni kazi yao na mawakili wa serikali wengi wameshiba mihogo izi case kufungwa ni nadra sana.
Iyo pesa bora ungeleta apa nikupe ushauri case ukisha fika mahakamani polisi hawezi kukusaidia na kama una toa pesa ni kwa mtu mmoja tu .....
Sina experience mkuu, issue kama sijawi experience before.Uzuri wa kesi za jinai ni kama ushahidi ume nyooka una enda ila kama ushahidi una walakini ata kidogo una pona, kwani sio kazi yako kuthibisha kama uliiba iyo ni kazi yao na mawakili wa serikali wengi wameshiba mihogo izi case kufungwa ni nadra sana.
Iyo pesa bora ungeleta apa nikupe ushauri case ukisha fika mahakamani polisi hawezi kukusaidia na kama una toa pesa ni kwa mtu mmoja tu .....
ππ aah, mie nime kusimulia tu namna yangu ilienda ila sijasema uende popote chambua uone lipi lakufaaππ kwahiyo unanishauri nini Mkuu ?
Pole sana white.Ahsantee Mkuu .