Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Sebule 5m+5m Chumba 5m+5m Jiko 2m+2m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
Sawa mkuuWanakuja mafundi michael
Ni ngumu kukokotoa idadi ya tiles na mabati yanayotakiwa bila kiwa na ramani. Pole sanaSebule 6m+6m Chumba 5m+5m Jiko 3m+3m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
Duuh Kuna wengine wanajua mkuuNjia rahisi mchukue fundi, nenda nae mjengoni mpige hesabu hapo halisi atakuambia mbao, misumari bati na kofia n.k kwa idadi na gharama zake.
Huku unauliza watu tupo kwa shemeji zetu unatupa mtihani bro, utahisi tunakuringia, utatufanya tujitutumueeee tukujibu uongo ilimradi tu.
Ramani hiiNi ngumu kukokotoa idadi ya tiles na mabati yanayotakiwa bila kiwa na ramani. Pole sana
Kujua pia idadi halisi bila kuona mjengo ulivyo pi nayo ngumu.Duuh Kuna wengine wanajua mkuu
Mkuu ngoja nisubiri majibu ya wanaojua ndio maana nimeleta Uzi humuKujua pia idadi halisi bila kuona mjengo ulivyo pi nayo ngumu.
Ushajenga??? Umefikia hatua hiyo?? Kwanini fundi asikupe hizo hesabu mbona rahisi tu
Nyumba ni hivyo hivyo hidden roof?? Au bati zinaonekana???Ramani hii
Hapana nataka paa 4Nyumba ni hivyo hivyo hidden roo??
Nataka paa nneinategemeana na mkao wa paa.
DuuhPiga kura yako kwa Umakini 2025
Join the chain, tone tone utakuwa na hili hapa👇🏿
igiza hapo
![]()
Okay mi nyumba ya feature hizo maana sebule, chumba self, na jiko nliweka bati 35Hapana nataka paa 4
Sawa mkuu na ukubwa wa chumba sebule jiko choo ulikuajeOkay mi nyumba ya feature hizo maana sebule, chumba self, na jiko nliweka bati 35
Aina ya bati?Nataka paa nne