Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
- #21
Msouth alafAina ya bati?
Msouth alafAina ya bati?
Tiles 40*40Sebule 6m+6m Chumba 5m+5m Jiko 3m+3m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
Saw mkuu nashukuruTiles 40*40
1. Sebuleni 6*6= 36sqm/1.92= box 19
2. Chumba 5*5=25sqm/1.92 = box 16
3. Jiko tiles chini 3*3 = 9sqm = box 5
4. Jikoni ukuta box 20 za 25*40
5. Toilet floor box 2
6. Toilet walls 25*40 box 14
BATI 48
Hii ndio solutionsNjia rahisi mchukue fundi, nenda nae mjengoni mpige hesabu hapo halisi atakuambia mbao, misumari bati na kofia n.k kwa idadi na gharama zake.
Huku unauliza watu tupo kwa shemeji zetu unatupa mtihani bro, utahisi tunakuringia, utatufanya tujitutumueeee tukujibu uongo ilimradi tu.
Chumba cha 5 x5 hatariSebule 5m+5m Chumba 5m+5m Jiko 2m+2m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
Vipi mkuu ni kikubwa sanaChumba cha 5 x5 hatari
Ndio kikubwa sanaVipi mkuu ni kikubwa sana
Duuh vipi 4m+4mNdio kikubwa sana
Olewa wewe bwana kwa shemeji unafanya nini mwishoe umsusie mbususu bure mgombane na sista.Njia rahisi mchukue fundi, nenda nae mjengoni mpige hesabu hapo halisi atakuambia mbao, misumari bati na kofia n.k kwa idadi na gharama zake.
Huku unauliza watu tupo kwa shemeji zetu unatupa mtihani bro, utahisi tunakuringia, utatufanya tujitutumueeee tukujibu uongo ilimradi tu.
We endelea tu kutembelea kiwanja kama vile kinaumwa 😁Olewa wewe bwana kwa shemeji unafanya nini mwishoe umsusie mbususu bure mgombane na sista.
Alafu wee ujenzi hujui kabisa bora ata mie abc nazijua.
Kwanza hapo chumba cha 5 x 5m ni uwanja wampira huo...hatari hapo aii tunapiga rondo zile za barcelona mtu kati hagusi alafu tunacheza one touch
Jiki 2 x 2 mbona dogo sana. Maana single wall kitchen atleast urefu wa 3m na upana wa 2m
Nauza nae da zangu kujenga mbweniWe endelea tu kutembelea kiwanja kama vile kinaumwa 😁