Wakuu naombeni mnipigie hesabu ya hii nyumba Mimi mgeni kwenye ujenzi

Sebule 6m+6m Chumba 5m+5m Jiko 3m+3m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
Tiles 40*40
1. Sebuleni 6*6= 36sqm/1.92= box 19
2. Chumba 5*5=25sqm/1.92 = box 16
3. Jiko tiles chini 3*3 = 9sqm = box 5
4. Jikoni ukuta box 20 za 25*40
5. Toilet floor box 2
6. Toilet walls 25*40 box 14
BATI 48
 
Tiles 40*40
1. Sebuleni 6*6= 36sqm/1.92= box 19
2. Chumba 5*5=25sqm/1.92 = box 16
3. Jiko tiles chini 3*3 = 9sqm = box 5
4. Jikoni ukuta box 20 za 25*40
5. Toilet floor box 2
6. Toilet walls 25*40 box 14
BATI 48
Saw mkuu nashukuru
 
Hii ndio solutions
 
Sebule 5m+5m Chumba 5m+5m Jiko 2m+2m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
Chumba cha 5 x5 hatari
 
Olewa wewe bwana kwa shemeji unafanya nini mwishoe umsusie mbususu bure mgombane na sista.

Alafu wee ujenzi hujui kabisa bora ata mie abc nazijua.
Kwanza hapo chumba cha 5 x 5m ni uwanja wampira huo...hatari hapo aii tunapiga rondo zile za barcelona mtu kati hagusi alafu tunacheza one touch

Jiki 2 x 2 mbona dogo sana. Maana single wall kitchen atleast urefu wa 3m na upana wa 2m
 
We endelea tu kutembelea kiwanja kama vile kinaumwa 😁
 
Tafuta fundi mpeleke site akafanye vipimo...atakuachia vipimo vyako vyote kwa usahihi na gharama zake na utamlipa Tsh 20,000 kama visit site...kama unataka kitu bora usikwepe gharama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…