Wakuu naombeni msaada, naona msongo wa mawazo una ninyemelea

Pole sana changamkaa uza ata mishkaki na ndizi mazee yan wewe ni kutafuta kitu cha kufanza binfsi inshot changamka never live the same,
 
Usikate tamaa kuna wenzio wanapitia magumu na hawana wa kumsimlia kama wewe ulivyofanya humu
 
Usilipe kila unakodaiwa hela kamili
lipa nusunusu, waimbishe masongi ya kihindi, ishi kijanjajanja sio kilokole
utatoboa
 
Mtu anapotoa wazo Jaribu kufikiria kwa mtazamo chanya acha mawazo hasi ...

Yaani kasema wazi kashafanya mahesabu anaomba msaada wa mawazo au hela kumsogeza amalize semista unaanza tenah kumzodowa..

Badilika ndugu kama huna Nia unatulia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…