Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Pole sana mkuu, kaza kiume huna washkaji/marafiki huko chuo? Au maisha yako ni mwenyewe mwenyewe tu na jf?
Kwa maisha ya chuo ni muhimu sana kuwa na wadau wako ambao ukikwama kabisa makulaji unawaibukia uwanja wa ugenini, lakini hakikisha nawewe usiwe mchungu ukiwa nacho. Hasa nyie wenye boom mnayo hiyo tabia sana ya kuona kama hiyo hela ndio kila kitu haiishagi kumbe sio.