Wakuu Naombeni ushauri kuhusu matumizi ya mouth spray

Wakuu Naombeni ushauri kuhusu matumizi ya mouth spray

Nasumbuliwa na tumbo kuwaka moto, nahisi kukabwa na kitu kooni, natoa vitu vidogo vidogo kama mabaki ya chakula yaliyo Ganda kwenye Koo, sauti kukata nikiongea kwa sauti ya juu na kutoa harufu mbaya kinywa.
Pole sana. Ni nani kakumbia utumie hiyo mouth spray? Tatizo lako linahitaji uchunguzi wa dr
 
Naitaji kutumia kwajili ya kupungiza harufu kinywani wakati naendelea na matibabu
Ok. Kumbe ulishamwona dr. Nimeelewa sasa. How about listerine mouth wash? Umeshawahi kuitumia? Unasukutua mdomoni.
1717318045579.jpeg
 
Piga mswaki v
Nasumbuliwa na tumbo kuwaka moto, nahisi kukabwa na kitu kooni, natoa vitu vidogo vidogo kama mabaki ya chakula yaliyo Ganda kwenye Koo, sauti kukata nikiongea kwa sauti ya juu na kutoa harufu mbaya kinyw
Piga mswaki kila mara badilisha dawa ya meno achana na haya ma whitedent. Safisha ulimi na kwenye magego. Inatisha ila nenda Ocean Road ukafanye vipimo hasa koo na hiyo sauti kukwangua nina ushahidi mbaya wa tatizo lako. Wahi vipimo.
Naitaji kutumia kwajili ya kupungiza harufu kinywani wakati naendelea na matibabu
P
 
Matumizi yake?
Imeandikwa. Kma unataka mouth spray ya hiyo Listerine pia iko na nadhani ndiyo nzuri inakufaa. Una spay mdomoni na unaweza kutembea nayo. Matumizi yake yameandikwa kwenye chupa na pia ndani kuna karatasi
 
Tafuta mouthwash hizo spray nyingine kuwa makini nazo utakuja kuharisha.
 
Back
Top Bottom