Wakuu natafuta dawa ya kung'arisha meno

Habari wakuu.

Naweza pata wapi dawa ya kung'alisha meno tofuati na hizi Colgate na dawa nyingine.

Kama kuna dawa nzuri.

Msaada tafadhali
Nenda ukasafishwe meno huwaga ni shi elfu 50 kama huna bima ya afya.
Ukitoka hapo meno yako utayapenda sana

Na pia acha kutumia dawa za meno ambazo hazieleweki pigia mswaki dawa ya SENSODINE utaona matokeo yatakavokuwa mazuri[emoji41]
 
Mimi huwa napigia SENSODINE halafu naenda zangu live band!🙂🙂🙂
 
Inapatikana wapi hii huduma ya kusafishwa?
Nenda magomeni hospital magomeni kanisani pale ukifika hapo ulizia doctor kobelo kisha muone uyo mwambie unataka kusafisha meno ni dentint mzuri sana ndie alie nisafisha mimi meno yangu na kunishauri kwamba watu wote tunatakiwa kufanya hivyo kwa mwaka mara 1 nilikua siwez kusmile kwa kujiamini sahivi meno yangu yako poa nayapenda masafii naweza hata kupewa tangazo la whitedent[emoji16]
 

Nimekupenda bure mwaya.
 
 

Attachments

  • 7D4AAFD1-AFCF-4AD6-9CAA-C9D37AEBA16C.jpeg
    93.6 KB · Views: 74
Nenda hospitali kubwa kitengo cha meno ni huduma unapatiwa na ipo hata kwenya bima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…