Wakuu natafuta dawa ya kung'arisha meno

Wakuu natafuta dawa ya kung'arisha meno

Hiki kitu siwez Fanya asee,,Naacha meno yangu yabaki na Golden Slugs OG kabisa,,Janjaroo alizngua kinyax kutoa Golden slugs
 
Habari wakuu.

Naweza pata wapi dawa ya kung'alisha meno tofuati na hizi Colgate na dawa nyingine.

Kama kuna dawa nzuri.

Msaada tafadhali
Njia rahisi na asilia... tumia Ganda la ndizi!!
Sugua meno baada ya kuvua ndizi.
India Google!!!
 
Ndizi mbichi au iliyoiva,na je unasugu na ganda upande wa nje au wa ndani ya ganda
Ndizi iliyoivaa..chuichui au hata iliyotayari Kuliwa.. inatumika kusuguwa upande wa ndani ya Ganda.. humo Kuna mada yenye kunga'arisha kama silver!!
Ntafurahi meno yaking'aa.. tuombe Nije kuhakiki..hahaha.
Shukran
 
Kwanza uislam umekataza kusugua meno kwa mkaa ,kama ww muislam ,usifanye hivyo,

Tunaomba picha ya meno yako kwa sasa,

Chukua jivu na dawa ya meno yeyote changanya pale unapotaka kupiga mswaki, utakuja kunishukuru japo inachukua muda

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Dini hizi
 
Mi ninatatizo la ganzi kwenye meno,nimeshahangaika sana bila ufumbuzi.hapa nina miaka nanasi nakunywa juice tu, lakini siwezi kutafuna,kachumbari ndio siigusi kabisa.
 
Hiki kitu siwez Fanya asee,,Naacha meno yangu yabaki na Golden Slugs OG kabisa,,Janjaroo alizngua kinyax kutoa Golden slugs
Kafanye teeth whitening bwana mdogo ukija town darisalade mamanzi watakuwa wanakushangaa tu na hizo gold slugs zako

Gold Slugs(Dj Khaled ft Chris Brown,Fetty Wap) unalijua hili pini?
 
Back
Top Bottom