Wakuu natafuta dawa ya kung'arisha meno

Wakuu natafuta dawa ya kung'arisha meno

Nenda ukasafishwe meno huwaga ni shi elfu 50 kama huna bima ya afya.
Ukitoka hapo meno yako utayapenda sana
Na pia acha kutumia dawa za meno ambazo hazieleweki pigia mswaki dawa ya SENSODINE utaona matokeo yatakavokuwa mazuri[emoji41]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hapa kuna 2 issues : meno kuwa na ukoko kwa ndani, hii ndiyo inabidi uende kwa dentist waukwangue ule ukoko au utando (calcium deposits) na baadae unaambiwa utumie medicated tooth paste kama sensodine. Pili ni meno kuwa na rangi ya njano kwa nje, hii ndiyo umeambiwa dawa ni mkaa.
 
Nenda magomeni hospital magomeni kanisani pale ukifika hapo ulizia doctor kobelo kisha muone uyo mwambie unataka kusafisha meno ni dentint mzuri sana ndie alie nisafisha mimi meno yangu na kunishauri kwamba watu wote tunatakiwa kufanya hivyo kwa mwaka mara 1 nilikua siwez kusmile kwa kujiamini sahivi meno yangu yako poa nayapenda masafii naweza hata kupewa tangazo la whitedent[emoji16]
Jina lako limenikumbusha maisha shule ya Msingi! kuree Tarime ! Mwenyekiti wa kijiji Marwa chomete alikaribishwa shuleni kuongelea nidhamu ya wanafunzi, Mwanae alikuwa mkorofi akichelewa anarukia dirishani huyoo! drsani! alisema, namnukuu!!

''Bhanafunsi nitamu imichuka sana!! utawona mutoto amicherewa anabhita! tricha anaingia taracha" sasa nakuuliza ni Baba yako huyu au....
Onyo; usisafishe meno hovyo yanadhoofisha ganda la Enamel, siku Likiisha hili gamba utajuta mpaka kaburini..........ivi Kwa nini wachaga hampendi meno yenu yalivyo na rangi nzuri km karanga mkaango? kwanza mazuri!pwii
 
Habari wakuu.

Naweza pata wapi dawa ya kung'alisha meno tofuati na hizi Colgate na dawa nyingine.

Kama kuna dawa nzuri.

Msaada tafadhali
Chukua KITUNGUU SWAUMU kitafune kisha chukua mswaki sugula meno na Kisha sukutua
 
Mkaa uasage asubuhii. Then sugulia meno ukichanganya na dawa kidogo inakuwa fresh.
Ukimaliza kusugulia mkuu then unamalizia na dawa ya kawaida ya meno.
Kila la heri.
 
Nenda magomeni hospital magomeni kanisani pale ukifika hapo ulizia doctor kobelo kisha muone uyo mwambie unataka kusafisha meno ni dentint mzuri sana ndie alie nisafisha mimi meno yangu na kunishauri kwamba watu wote tunatakiwa kufanya hivyo kwa mwaka mara 1 nilikua siwez kusmile kwa kujiamini sahivi meno yangu yako poa nayapenda masafii naweza hata kupewa tangazo la whitedent[emoji16]
Sh ngap kusafisha meno
 
Elite Dental clinic ni laki tisa arobaini nikawaambia isiwe tabu
Walishamsoma huyo ukute hata risit mm nilienda safisha fizi na bima ninayo nikiwa room wakaniambia eti bima haiwez fiz moja kusafisha 40000 nikiwaambia kwaio tunalipia kule reception wakaniambia hpn unalipia hapa hapa nikawaambia basi nasepq hela sina wakaniambia basi kaa tutakusaidia tu wakanosafisha nikasepa

Hawa watu huwa wanampima mtu wakiona hujitambui ni pesa hata km bima unayo
 
Nenda magomeni hospital magomeni kanisani pale ukifika hapo ulizia doctor kobelo kisha muone uyo mwambie unataka kusafisha meno ni dentint mzuri sana ndie alie nisafisha mimi meno yangu na kunishauri kwamba watu wote tunatakiwa kufanya hivyo kwa mwaka mara 1 nilikua siwez kusmile kwa kujiamini sahivi meno yangu yako poa nayapenda masafii naweza hata kupewa tangazo la whitedent[emoji16]
NaMBa Zake za simu . Gharama ilikuwa tsh ngapi?
 
Nenda ukasafishwe meno huwaga ni shi elfu 50 kama huna bima ya afya.
Ukitoka hapo meno yako utayapenda sana

Na pia acha kutumia dawa za meno ambazo hazieleweki pigia mswaki dawa ya SENSODINE utaona matokeo yatakavokuwa mazuri[emoji41]
Hospital gani wanafanya kwa elf 50 kusafisha meno? Tafadhali nijuze
 
Nenda magomeni hospital magomeni kanisani pale ukifika hapo ulizia doctor kobelo kisha muone uyo mwambie unataka kusafisha meno ni dentint mzuri sana ndie alie nisafisha mimi meno yangu na kunishauri kwamba watu wote tunatakiwa kufanya hivyo kwa mwaka mara 1 nilikua siwez kusmile kwa kujiamini sahivi meno yangu yako poa nayapenda masafii naweza hata kupewa tangazo la whitedent[emoji16]
Anasafisha kwa bei gani?
 
Back
Top Bottom