[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti tangazo la white dent ,Nenda magomeni hospital magomeni kanisani pale ukifika hapo ulizia doctor kobelo kisha muone uyo mwambie unataka kusafisha meno ni dentint mzuri sana ndie alie nisafisha mimi meno yangu na kunishauri kwamba watu wote tunatakiwa kufanya hivyo kwa mwaka mara 1 nilikua siwez kusmile kwa kujiamini sahivi meno yangu yako poa nayapenda masafii naweza hata kupewa tangazo la whitedent[emoji16]
Hospitali yoyote kubwa, kama upo morogoro road unaweza kwenda mloganzira au bochiWapi kuna hiyo Huduma?
Mkuu hii niliwahi kuifanya pale Ekenywa, niliitumia Cash na kama unavyojua pale ni hospitali binafsi, kusafisha jino moja ni elfu 30, nilisafisha sita ya juu ambayo ndio yanaonekana nikicheka.... Efficiency yake sio kihivyo mkuu, huwa yanatakata kama tatizo ni plaque, ila kama yameathirika ya fluoride kama ya sisi watu wa Kilimanjaro na Arusha ni ngumu kuwa meupe, kwa sababu tatizo fluoride inaathiri kuanzia ndani mpaka juu, so ile rangi ya meno ni kutoka ndani, hata likwanguliwe vipi haiishi zaidi ya kuondoa enamel na kukuacha na tatizo lingine.Nenda ukasafishwe meno huwaga ni shi elfu 50 kama huna bima ya afya.
Ukitoka hapo meno yako utayapenda sana
Na pia acha kutumia dawa za meno ambazo hazieleweki pigia mswaki dawa ya SENSODINE utaona matokeo yatakavokuwa mazuri[emoji41]
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nitajaribu kumuona huyu anipe msaada.Nenda magomeni hospital magomeni kanisani pale ukifika hapo ulizia doctor kobelo kisha muone uyo mwambie unataka kusafisha meno ni dentint mzuri sana ndie alie nisafisha mimi meno yangu na kunishauri kwamba watu wote tunatakiwa kufanya hivyo kwa mwaka mara 1 nilikua siwez kusmile kwa kujiamini sahivi meno yangu yako poa nayapenda masafii naweza hata kupewa tangazo la whitedent[emoji16]
Ekenywa hao ni wapiga pesa hawana lolote maboyaa haooo wanakurundikia midawa mingii ili wapige pesa hospitali ya hovyo iyo na usikubali kwenda tenaa hapo kama unapenda maisha yako....hapo ekenywa dada yangu walimuover dose dawa kidogo tumkose mpaka tukawafungulia kesi.... Hapo wanautopolo tu hakuna kitu hapoMkuu hii niliwahi kuifanya pale Ekenywa, niliitumia Cash na kama unavyojua pale ni hospitali binafsi, kusafisha jino moja ni elfu 30, nilisafisha sita ya juu ambayo ndio yanaonekana nikicheka.... Efficiency yake sio kihivyo mkuu, huwa yanatakata kama tatizo ni plaque, ila kama yameathirika ya fluoride kama ya sisi watu wa Kilimanjaro na Arusha ni ngumu kuwa meupe, kwa sababu tatizo fluoride inaathiri kuanzia ndani mpaka juu, so ile rangi ya meno ni kutoka ndani, hata likwanguliwe vipi haiishi zaidi ya kuondoa enamel na kukuacha na tatizo lingine.
Labda achague ile ya kuvalisha meno cape flani hivi(madaktari wa kinywa wanajua kitaalamu inaitwaje) mimi nilishauriwa kufanya hivyo gharama zikanishinda. Ni ghali mnoo,ila kama mdau mfuko wake uko vizuri aende hospitali yeyote yenye huduma ya kinywa na meno watampa gharama na watamfanyia vizuri
mtaachana tuu
Nenda magomeni hospital magomeni kanisani pale ukifika hapo ulizia doctor kobelo kisha muone uyo mwambie unataka kusafisha meno ni dentint mzuri sana ndie alie nisafisha mimi meno yangu na kunishauri kwamba watu wote tunatakiwa kufanya hivyo kwa mwaka mara 1 nilikua siwez kusmile kwa kujiamini sahivi meno yangu yako poa nayapenda masafii naweza hata kupewa tangazo la whitedent[emoji16]
Yes ni YEYE huyu jamaaa ana wito na meno aisee alafu hanaga hata tamaa ya kuomba rushwa ndo mana watu wengi wenye shida ya meno wanampenda!!Namjua huyu dokta ni msela flani yuko poa sana, alinisaidiaga kupata meno mazuri ya bandia nilipopata ajari, tokea 2014 hayajanisumbua hadi leo, nilikua na namba yake nimeipoteza
Hospital zote kubwa...ni huduma ya kawaidaInapatikana wapi hii huduma ya kusafishwa?
Uliibiwa, nenda kadai hela yako kusafisha jino moja ni elfu 30? Wezi hao wakubwaMkuu hii niliwahi kuifanya pale Ekenywa, niliitumia Cash na kama unavyojua pale ni hospitali binafsi, kusafisha jino moja ni elfu 30, nilisafisha sita ya juu ambayo ndio yanaonekana nikicheka.... Efficiency yake sio kihivyo mkuu, huwa yanatakata kama tatizo ni plaque, ila kama yameathirika ya fluoride kama ya sisi watu wa Kilimanjaro na Arusha ni ngumu kuwa meupe, kwa sababu tatizo fluoride inaathiri kuanzia ndani mpaka juu, so ile rangi ya meno ni kutoka ndani, hata likwanguliwe vipi haiishi zaidi ya kuondoa enamel na kukuacha na tatizo lingine.
Labda achague ile ya kuvalisha meno cape flani hivi(madaktari wa kinywa wanajua kitaalamu inaitwaje) mimi nilishauriwa kufanya hivyo gharama zikanishinda. Ni ghali mnoo,ila kama mdau mfuko wake uko vizuri aende hospitali yeyote yenye huduma ya kinywa na meno watampa gharama na watamfanyia vizuri
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti tangazo la white dent ,
Gharama zakeNenda magomeni hospital magomeni kanisani pale ukifika hapo ulizia doctor kobelo kisha muone uyo mwambie unataka kusafisha meno ni dentint mzuri sana ndie alie nisafisha mimi meno yangu na kunishauri kwamba watu wote tunatakiwa kufanya hivyo kwa mwaka mara 1 nilikua siwez kusmile kwa kujiamini sahivi meno yangu yako poa nayapenda masafii naweza hata kupewa tangazo la whitedent[emoji16]
Abarikiwe sanaYes ni YEYE huyu jamaaa ana wito na meno aisee alafu hanaga hata tamaa ya kuomba rushwa ndo mana watu wengi wenye shida ya meno wanampenda!!
Nenda magomeni hospital magomeni kanisani pale ukifika hapo ulizia doctor kobelo kisha muone uyo mwambie unataka kusafisha meno ni dentint mzuri sana ndie alie nisafisha mimi meno yangu na kunishauri kwamba watu wote tunatakiwa kufanya hivyo kwa mwaka mara 1 nilikua siwez kusmile kwa kujiamini sahivi meno yangu yako poa nayapenda masafii naweza hata kupewa tangazo la whitedent[emoji16]
Nipe majina Hospital zinazotoa Huduma ya kusafsha meno kwa Bima ya AfyaNenda ukasafishwe meno huwaga ni shi elfu 50 kama huna bima ya afya.
Ukitoka hapo meno yako utayapenda sana
Na pia acha kutumia dawa za meno ambazo hazieleweki pigia mswaki dawa ya SENSODINE utaona matokeo yatakavokuwa mazuri[emoji41]
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kwa Dr wa Meno -DDSInapatikana wapi hii huduma ya kusafishwa?