Wakuu naumia sana, naombeni msaada wa ushauri

Kwanza kabisa,Kuwa smart kuliko kipindi cha nyuma.Namaanisha kichwani na Mavazi.

Avoid mistakes dongo dogo ofisini.Wahi piga kazi zako sepa.

Tafuta hela kuwa namaendeleo zaidi ya ulivyokua nae.

Jifunze kukaa kimya nankuzuia hasira.Ukionyesha kukasirika umeisha mzee.
 
Maneno yote ya nini unaeza usimjibu hata moja...unafanya kudelete kila kitu chake unatulia afu huoneshi kinyongo, hautii huruma, yaani unakaza ile nothing has happened atafurahia show
Mbinu nzur sana hii
 
Hpn mkuu nina mke 1 na mtoto mmoja ila amini nakwambia ktk maisha yng sijawahi kuteseka na mapenz.
Kwa sabab sijawahi kuwatilia maanani sana wanawake
Yaani wewe ni kama mm kabisa na hii ndio fomula nzuri kwenye maisha hasa sehemu ya mahusiano. Mi huwa nikiingia kwenye mahusiano may be nikimchepuko kikianza kuzingua tu napiga chini na sihangaiki nae.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti nachapa rapa mapema tu
 
"Nlijaribugi huo mchezo kipindi tupo sculi yule binti hakufanya utani alimwandikia barua best yangu anampenda na alihakikisha naiona" aliskika mlevi moja
Kwahiyo baada ya hapo makande yakawa hayashuki, ukila unahisi unakula mawe πŸ˜‚
 
Yaani wewe ni kama mm kabisa na hii ndio fomula nzuri kwenye maisha hasa sehemu ya mahusiano. Mi huwa nikiingia kwenye mahusiano may be nikimchepuko kikianza kuzingua tu napiga chini na sihangaiki nae.
Yeah ivo ndo inavyotakiwa kwa mwanaume.
 
hisia za mapenzi kwa kiasi kikubwa hubebwa na nyege!,ukiwa na nyege kali hautaacha kumuwaza unaempenda sasa kazitoe utamsahau yani kikubwa hakikisha haukai na upwiru usikaenao...!
𝒇𝒂𝒄𝒕
 
Siku, moja tuko ndani ya gari dereva alikuwa dada mmoja hivi basi tukapigwa mkono na traffic wa kike alikuwa pisi kwa kweli kakaja kwa dereva wetu kakamwambia dada mbona una speed hivo na umebeba viumbe wachache na adimu sana, hebu wapeleke taratibu hawa viumbe ni wa thamani sana. Hii kauli ya huyu afande inanipaga kiburi kwenye mapenzi hadi sasa
 
sasa umeandika nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…