Wakuu naumia sana, naombeni msaada wa ushauri

Hivi mnawezaje kuwa wapenzi ofisi moja?? anyway huyo binti alitaka sana kuachan na wewe ila alikosa ujasiri tu na sasa umejileta mwenyewe kwenye 18 yeye kamaliza mchezo. Endelea na maisha yako wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa ninakimchepuko changu kidogo kidogo hivi nilikuwa na kikubali sana maana tulikuwa tunapika na kupakua, dah! Sikumoja nakuta kinaongea na mshikaji nakiuliza nan huyo kinasema sio mtu wangu nikajisemea huu ni upuuz huyu dem anamshikaji.

Siku moja nikakiomba shoo kikawa kinanizingua zingua nikajisemea huyu dem amesha liwa kiboga sasa napita hivi nayeye kapita hiv, sasa ni mwez sijamtafuta hajanitafuta sibembelezagi mapenzi mm.
 
waliposema usiache kazi kabla ya kupata kazi ulidhani walijisemea tu ili siku ziende!!!
 
Nafanya imagination hapa kama nakuona vile unavoteseka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hayanaga mwongozo, muda ni tiba nzuri sana, utapona tu
 
Wala usijione mjinga ww mtafute mwambie “Babe nilikuwa nimelewa, naomba yaishe” hapo hata yy kakumiss ndiomana anakufanyia visa….. hiyo kawaida kwa watu wanaopendana wala wasikuogopeshe humu. Na wao huko ni wajinga kwa wapenzi wao sema wanavunga tyuuu!!! 😂😂😂😂
 
Pole ila usitishie kufart wakati tumbo haliko sawa mkuu, mwambie tu ulikua unamtania aache ujinga hamna kuachana 😃
 
sijajua kwa kampuni/taasisi yako

ila wakati naanza ajira mwanzoni kabisa miaka ya 2000 nilisomewa staff regulation "Ni marufuku kwa wafanyakazi kuwa na uhusiano wa kimapenzi"
failure to adhere mmoja ataachishwa kazi
kwenye suala lako
natamani kujua umri wako,una muda gani kazini na kwanini ulitingisha kiberiti ?
 
Umekosea vitu kadhaa:

1. Kua na demu mmoja.
2. Mapenzi kazini.
3. Kuupa moyo kazi isiyouhusu.
4. Kumpenda demu mwembamba.

Tuna recover vipi?

Jikaze. Ukirudisha majeshi we ni fala wa mwisho.
 
Mwanamke akupende yeye sana ,ila kama wewe ndio umempenda sana atakuendesha kama gari bovu.
 
Ndomana mahusiano kazini yanakatazwa Kwa sababu hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…