Wakuu nchi inauzwa tuitisheni maandamano haraka iwezekanavyo

Wewe unafikiri majumba ya mbweni waliyoejnga WAHUNI unafikiri pesa inatoka wapi? Si wanauza nchi kwa mbabeberu na waarabu wanakula chao wanaenda kujenga Ma MANSION ya mabilioni MBWENI.
 
HIYO INAELEWEKA KABISA KWA KILA MTANGANYIKA KUWA SIKU YA AFCON LAZIMA TUKINUKISHE MARA KUMI YA ILIVYOKUWA MO29.
 
Uyu ni Mchochezi %100 ✅️

Angeitisha press na kusema ichi kaandika apa
Siku iyoiyo angejikuta Lupango kwa mjomba Lissu 🤠✍️
Data aziweke kwanza
 
Hamna hata picha ututumie tusome na sisi, maana dah inaumiza sanaa
 
Kuna mradi wa ujenzi makao makuu ya TANESCO Dodomaa ilipewa kampuni ya ujenzi inayomilikiwa na Abdul, makadirio yalifanyika na kuongeza gharama kwa 20b wote wakabaki kimya midomo wazi!
 
Hebu na sisi tusome
 
Yani wewe umesoma mkataba naadae umekunywa zako gongo na mumeo unataka sisi tuingie barabarani!?
Yani ndo maana nyie wananchi washaanza kuwadharau na mandaamano yenu ambayo hayana kichwa wala miguu..
Kwanza saivi tupo na Lissu.
 
Wewe unashituka Leo?
Nchi ilipigwa mnada hata kabla ya Magufuri! Magufuri alikuja kusimamisha utekelezaji wa mikataba hiyo kwa muda.
Alipoondoka basi!
Tutakuja kuandamana siku wananchi tukipigwa mnada!
Kwa muda huu,tunangoja wa kumfunga Paka kengele.
 
Me ndiyomaana naogopa kuzaa nikigikiria maisha ya kizazi kijacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…