Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana mpenzi wangu alikopa na maokoto akayatumia mie bila kujua, aahh, atoto mbaya nyinyi šš¤£Cc Atoto š¤£
Una hisa asilimia ngapi?NBC... Hiyo ndo bank angu mimi hapa
Umeelewa shida ya mtoa mada au umekuja kujisifia?Niliwahi kukopa NBC na nikalipa kwa mahahara wangu.Nilianzisha biashara ambayo mpaka sasa inanipa jeuri mjini .Mkopo nililipa kwa wakati na nililipa bila usumbufu.
Ahahaha sio kiivo mkuu daah ....Una hisa asilimia ngapi?
Nakuzingua tu, nilishaelewa.Ahahaha sio kiivo mkuu daah ....
Mbona unafanya maisha yawe magumu sasa mkuu
Ahahahahah daaah aiseee kuamua tuu kutukomoa hapa jukwaaniNakuzingua tu, nilishaelewa.
Hapana....Ina maana mpenzi wangu alikopa na maokoto akayatumia mie bila kujua, aahh, atoto mbaya nyinyi šš¤£
Hapana Rrondo...Maki uliwahi kukopa huko?
Shida yake ni kufahamu experience ya kukopa NBC na mimi nimemjibu kuwa nilikopa na nikapata pesa kwa wakati,na nikarudisha kwa wakati,sikukitana na changamoto yoyote.Nimekosea wapi kumjibu hivyo?Umeelewa shida ya mtoa mada au umekuja kujisifia?
Aahh.. Dunia ina siri nyinyi šHapana....
Ni Member wa NBC huyoš¤£š¤£š¤£
Ukiona benki unakopa millions 4 unarejesha miliomioni 4 hiyo sioMkuu wamekukula kichwa
Ukiona benki unakopa millions 4 unarejesha miliomioni 4 hiyo sio
Ulitakiwa mpe hatua kwa hatua kuanzia maombi hadi kupokea mkopo. Nini awe nacho.Shida yake ni kufahamu experience ya kukopa NBC na mimi nimemjibu kuwa nilikopa na nikapata pesa kwa wakati,na nikarudisha kwa wakati,sikukitana na changamoto yoyote.Nimekosea wapi kumjibu hivyo?
Bei gani?Mada hapo juu wakuu.
Je yupo aliyewahi kikopq benki ya NBC anipe experience. Msaada
KERO - Benki ya NBC wajirekebishe, watakuja kuua watu kwa presha
Hawa NBC BANK watakuja kuua watu kwa Pressure. Jana nmeenda ATM kutoa pesa natoa pesa haitok kuangalia salio naambiwa nina negative 652,520,7644. Kumbe miitandao imesheki. Afu eti imagine kwa dunia hii ya sasa hivi NBC wana sim banking ambayo huwez kuhaamisha pesa kwennda bank nyingine. These...www.jamiiforums.com