Wakuu ni nani amewahi kukopa benki ya NBC?

Umeelewa shida ya mtoa mada au umekuja kujisifia?
Shida yake ni kufahamu experience ya kukopa NBC na mimi nimemjibu kuwa nilikopa na nikapata pesa kwa wakati,na nikarudisha kwa wakati,sikukitana na changamoto yoyote.Nimekosea wapi kumjibu hivyo?
 
Ni kweli mkuu
 
Inakuaje benki kuu wanaona upuuzi huu wanaacha tu? Au NBC ni benki ya wanene??
 
Shida yake ni kufahamu experience ya kukopa NBC na mimi nimemjibu kuwa nilikopa na nikapata pesa kwa wakati,na nikarudisha kwa wakati,sikukitana na changamoto yoyote.Nimekosea wapi kumjibu hivyo?
Ulitakiwa mpe hatua kwa hatua kuanzia maombi hadi kupokea mkopo. Nini awe nacho.

Hakuna mkopaji amewahi kitangaza kwamba alisumbua pindi alipokopa.
 
Mimi naomba mwenye mawasilano na wahusika wakuu wa mikopo NBC,nishazungushwa sana
 
Hiyo benki sijui kwanini naiogopa ingawa wafanyakazi wake huwa nakutana nao almost kila siku.

Kuna mademu wazuri sana pale.
 
Mada hapo juu wakuu.
Je yupo aliyewahi kikopq benki ya NBC anipe experience. Msaada

Bei gani?
 
Back
Top Bottom