Wakuu nimeachwa mwenzenu

Bibie ana wivu uliopitiliza na kilichochangia ile kuanzisha humu mahusiano inategemea walianza vipi mahusiano yao kama walianza kutaniana kisha wakaingia kwenye love nadhani bibie akiona jamaa anataniana na mwingine nafsi haiamini kama ni matani ama kweli.
 
Kweli mkuu...halafu jamaa ndo hivyo akubali kutotaniana na wanawake tena...akiingia jf aqoute wanaume tu.
 
Quentin Beck,

Wanaume hatuliagi liagi hvyo, kwamba utakua mgeni wa nani! Pga moyo konde utapata utakae endana nae.
 
Yeye anatakiwa ajiulize ubaya wa humu ukiwa kwenye mahusiano lazima ukubali kuacha baadhi ya tabia kutaniana na mengineyo naona huyu mtoa mada alishindwa hili
Kweli...kupunguza mazoea kiasi fulani na upande mwingine ni muhimu.
 
Kwanza kabisa kabla ya kukupa pole na kukusaidia kimawazo.
HUYO MWANAMKE ULIMPATIA WAP!!? HUMU JAMII FORUM AU!!🤔🤔
 
Exactly mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I rather die than to live without this womna.
Sikutegemea kua mimi ipo siku nitalia kisa mapenzi
I don't deserve this

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga ww unatuaibisha wanaume wenzio ww, au ni mgen wa mapenzi? Unalia liaaa watu tunapgwa vibuti kila kukicha mpk tumesha komaa nasisi tukaanza kupga vibuti unafkr mchezo? Usimwamin mtu yeyote hata kama anakupenda vp.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu yaan mm limenishangaza linavyo lia lia kisa mapenz, mapenz yalkuw zaman.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I rather die than to live without this womna.
Sikutegemea kua mimi ipo siku nitalia kisa mapenzi
I don't deserve this

Sent using Jamii Forums mobile app
acha hizi kauli mkuu..! ana nini ambacho kinaweza gharimu maisha yako..! mpotezee..na tu kwasasa japo umechelewa..! ulipaswa umzingue mapema pndi ulipogundua kna mabadiliko kwa huyo mpenzi wako..ndo hua tunafanya hvyo..yaan kumpga chini mapema ukishagundua kna dalili mbaya..huyo sio wako tena..vingnevyo utapata tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…