Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Bibie ana wivu uliopitiliza na kilichochangia ile kuanzisha humu mahusiano inategemea walianza vipi mahusiano yao kama walianza kutaniana kisha wakaingia kwenye love nadhani bibie akiona jamaa anataniana na mwingine nafsi haiamini kama ni matani ama kweli.Huyu ndugu yetu anasuka Bomu...mtu ana behave hivi kabla ya ndoa akiolewa je?...Sabab yenyewe eti binti hapendi jamaa aqoute au kutaniana na wanawake wa humu...Yaani a socialise na wanaume tu... Wakiingia kwenye ndoa anaweza akamzuia kuongea na wanawake kabisa au asiwe na namba ya ke yoyote hata marafiki aliosoma nao...Mimi naona kaepushwa balaa ila yeye anaona mkosi...Haya Na amfuate huko aliko ambembeleze waingie ndoani.