Hatimae Benki itagundua makosa ChiefSerikali haijalala kihivyo... akikaa kimya na wakati wa kuifuatilia ikaja onekana akaunti yake ina pesa ambayo mzunguko wake ndio huo wa haramu... Lazima ajumuishwe kwenye wizi... Maana atakuwa hana ushahidi wa kutohusika
Mi siamini hata chembe kwamba hizo pesa zimeingia kimakosa kwenye akaunti yake... Hata kidogoHatimae Benki itagundua makosa Chief
Mkuu ukienda polisi unaweza kupewa kesi na pesa wakaipiga wao...amini nachokwamba
ni kweli ushauri wako, naweza kufika nikapewa kesi ya utakatishaji wakati hata sijui hela imetoka wapi na inakwenda wapiMkuu ukienda polisi unaweza kupewa kesi na pesa wakaipiga wao...amini nachokwambia
Mkuu bado hela bado imo.... nimecheki tena muda huu.Hela iliopotea njia sio rahisi kuipata hio! Hapo tegemea tu kwamba washa revert muamala na unarudi ulipotoka!
Ni kama tu wewe ukigundua umekosea kuhamisha pesa unapojiwahi kupiga voda au kuzuia muamala.
Huwa zinaingia kimakosa ila huwa haichukui muda wanagundua na kama ikatokea ukaingiza ATM cadi unaewza kutoa kiasi ila kumbuka wanaweza kukufungaMi siamini hata chembe kwamba hizo pesa zimeingia kimakosa kwenye akaunti yake... Hata kidogo
Isikilizie kama baaz ya wadau wanavosema kisha chomoa kidogo kidogo,kama ni haramu huwezi kutafutwa,mwizi kaiba nae kaibiwa ngoma drooni kweli ushauri wako, naweza kufika nikapewa kesi ya utakatishaji wakati hata sijui hela imetoka wapi na inakwenda wapi
jaribu kutoa 2000 tu kuptia Simbanking uone km itakubali..maybe ipo lkn ishazuiliwa kule.Mkuu bado hela bado imo.... nimecheki tena muda huu.
Zamani watu walikuwa wanazila tu. Cku hizi ukizila, unashtakiwa kwa uhujumu uchumi. Chukua kama laki tano tu hapo uka spend kidogo.Naomba ushauri tu, leo nimekuta Mil 300 zimo kwenye account yangu ya Benki - Sijui zilikotoka sasa naomba ushauri kwenu je
1. Ni report bank yangu kwamba kuna mzigo sijui ulikotoka
2. Nikae kimya kwanza kusikilizia
3. Nianze kuzitumbua
4. Nizihamishe fasta kwenye acc nyingine
5. Nizitoe zote nikae nazo home, sababu wanaweza ku-trace kama nikiweka kwenye acc yangu nyingine?
........
wazoefu naombeni ushauri wenu - nimedata hata kazi nashindwa kufanya - Jina la Benki naliweka kapuni kwa sasa.
kwa sababu nilikuwa na hela yangu imechanganyikana humo, nimetoa 1m - kitu bado kinasoma vile vile mzigo bado umo, nazidi kudata!! nafikiri Jela sasa inaniita - washanipata - siziachii aisee!!jaribu kutoa 2000 tu kuptia Simbanking uone km itakubali..maybe ipo lkn ishazuiliwa kule.
Una mbwembwe kama fudengeMkuu Mil 300 au tuseme ni $130,500 hivi, zinihamishe nchi ? mbona ndogo nina familia
@Bill LuganoUna mbwembwe kama fudenge
Sio huyo..kuna mwingine😀@Bill Lugano