Twende tubamie ughaibuni, tukutane airport faster unasubiri niniNaomba ushauri tu, leo nimekuta Mil 300 zimo kwenye account yangu ya Benki - Sijui zilikotoka sasa naomba ushauri kwenu:
1. Niripoti bank yangu kwamba kuna mzigo sijui ulikotoka
2. Nikae kimya kwanza kusikilizia
3. Nianze kuzitumbua
4. Nizihamishe fasta kwenye acc nyingine
5. Nizitoe zote nikae nazo home, sababu wanaweza ku-trace kama nikiweka kwenye acc yangu nyingine?
Wazoefu naombeni ushauri wenu - nimedata hata kazi nashindwa kufanya - Jina la Benki naliweka kapuni kwa sasa.
Hiyo account nilishaiunganisha na visa - Mastercard....huwa natumia kununulia vitu toka nje....wazo lilikuja nihamishe mzigo wote kwenye acc ya nje ya ndugu yangu...roho ikasitaNilitaka nikushauri hata ununue kitu nje ulipe kwa card yako lakini nikaona ni prosesi sana
Tena iyo ndio nzuriHiyo account nilishaiunganisa na visa - Mastercard....huwa natumia kununulia vitu toka nje....wazo lilikuja nihamishe mzigo wote kwenye acc ya nje ya ndugu yangu...roho ikasita
Nimexheka sana, " ukiiitia upawa kuchota"Bado atatiwa katka mikono salama, kwa kuwa kama ni mchongo wa staff wa bank husika ni lazima itakuwa wanaifuatilia muda wote, kwa hiyo ukitia tu upawa kuchota tayari wanakudaka.
Huu uzi wa kazi gani kama pesa ni ndogo? Haya warudishieMkuu Mil 300 au tuseme ni $130,500 hivi, zinihamishe nchi ? mbona ndogo nina familia
Kuna mdau aliniambia nihame nchi...niende China nikawambia nina famiia na nimewekeza TZ - hii nalo likawa kikwazo.Huu uzi wa kazi gani kama pesa ni ndogo? Haya warudishie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]200-300=-100 hauna kitu wewe acha kuvuta bangi bila kula
Kama unajua watu wa benk wapo humu uneandika ya nn,umesahau na FIU wapo piaMkuu ushahidi niutoe hapa wakati watu wa Benki wamo humu humu
Bang mbaya sanaYes, kuna mdau pia kanitonya hivyo kwamba ikifika mwisho wa siku leo wanaweza kuzitoa - ndiyo maana nataka nikazitoe kabla ya siku kuisha... Kuna mdau kasema kwamba nijilipue - kufa ni mbele kwa mbele ila nasita -sita roho inagoma.
Kwahiyo hujaamua chakufanya? na bado imo?Hiyo account nilishaiunganisha na visa - Mastercard....huwa natumia kununulia vitu toka nje....wazo lilikuja nihamishe mzigo wote kwenye acc ya nje ya ndugu yangu...roho ikasita
Mkuu nilishatoa update mbona ....saa 8 na nusu mchana Transaction ikawa reversed.Kwahiyo hujaamua chakufanya? na bado imo?
Toa taarifa kwa Manaje wa tawi lako kuhusu ingizo kwenye akaunti yako ambalo hakulitarajia, Meneja atakusaidia kujua kama watendaji kwenye Benki hiyo wametega bomu ambalo wewe kwa tamaa zako utaingia kichwa kichwa.Naomba ushauri tu, leo nimekuta Mil 300 zimo kwenye account yangu ya Benki - Sijui zilikotoka sasa naomba ushauri kwenu:
1. Niripoti bank yangu kwamba kuna mzigo sijui ulikotoka
2. Nikae kimya kwanza kusikilizia
3. Nianze kuzitumbua
4. Nizihamishe fasta kwenye acc nyingine
5. Nizitoe zote nikae nazo home, sababu wanaweza ku-trace kama nikiweka kwenye acc yangu nyingine?
Wazoefu naombeni ushauri wenu - nimedata hata kazi nashindwa kufanya - Jina la Benki naliweka kapuni kwa sasa.
Mm nnazo lkn za kutafuta...Eeh kwani yeye kaitafuta si kawekewa tu,
Tutaitumbua hadi iishe