Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The biggest threat ni wahindi. Kwenye Kila sekta jamaa wapi, wauzaji wakubwa wa Dawa za Binadamu (Pharmaceuticals) ni wahindi, biashara nyingi sana Kariakoo wao ndio wamiliki, mpka viwanda vya juice kama jambo, biscuit na kadhalika. They are the real threat. Posta jioni wanejaa kama vile wapo Mumbai.Wakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.
Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.
Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele? Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...
Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema bara la africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng??? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?
Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
Apartheid at it's finest. Wahindi huwa wanalaumiwa kwa kuwa hawajichanganyi na wazawa, Wazungu husifiwa kwa kujichanganya na kuoleana je kwa nini Wachina wabaguliwe kwa ku-adopt mila na tamaduni wanamoishi?Wakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.
Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.
Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele? Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...
Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema bara la africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng??? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?
Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
Acha kushangaa hao ni marafiki WETU wa siku nyingi. Kama wewe ni mwanaume tongoza oa wazalishe update mtoto hybridi mwenye uwezo wa kufikiri haraka kama wachina tofauti na sisi tunawaza NGOMA na sherehe na vkoba tu bila kufanya kaziWakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.
Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.
Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele? Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...
Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema bara la africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng??? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?
Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
Wang Yi mao ze donng zhang yuoXI JIN PING II Xi Jinping Xi jiping Hu Jintao
Mleta mada umechelewa sana,
Hata hii JF miaka ya mbele,wao ndio watatawala nyuzi za humu,mpaka JF wameshaingia tayari.
Naomba link ya uo uzi mkuuKuana jarida linatembea kwa kasi sana wachina wanasema wao asili yao ni Afrika na DNA inathibitisha hilo.
Kuna mdau alipost humu.
Wapo kila kona ya nchi na wanaplay low profile.. Wako kwa ground Sana..misheni yao ni ndefu sanaWakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.
Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.
Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele? Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...
Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema bara la africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng??? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?
Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
Niliwaambia... kumbe tunao humu na wanaongea Kiswahili vizuri tu😀😀XI JIN PING II Xi Jinping Xi jiping Hu Jintao
Mleta mada umechelewa sana,
Hata hii JF miaka ya mbele,wao ndio watatawala nyuzi za humu,mpaka JF wameshaingia tayari.
Upo sawa kabisa mkuu. Hata mi nasema muhimu watii sheria na taratibu zetu zoteApartheid at it's finest. Wahindi huwa wanalaumiwa kwa kuwa hawajichanganyi na wazawa, Wazungu husifiwa kwa kujichanganya na kuoleana je kwa nini Wachina wabaguliwe kwa ku-adopt mila na tamaduni wanamoishi?
Kwa sisi ambao tunaganga njaa katika nchi za watu weupe we know how it feels pale unapobaguliwa, hii dunia imekuwa kijiji hivyo tuache uoaga kama watu hawavunji sheria na wapo TZ kihalali ni vizuri wasipojibagua nasi pia tusiwabague.
Tanganyika kuna uoga mwingi kwa kuwa wengi hawana exposure lakini Zanzibar wageni wanafurahiwa na ndiyo wenye mchango mkubwa kwa maendeleo.
Wakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.
Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.
Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele? Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...
Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema bara la africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng??? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?
Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
Na haya mawazo ndio sahihi kabisa na inapaswa tuishi nayo haya. Muhimu wazingatie sheria na taratibuHawa jamaa tusiwachukie wala kuwaona kama ni wezi au wanyonyaji.
1.Cha msingi tuangalie tu sheria na sera zetu zinasemaje kuhusu foreigner.
2.Sheria zetu ziwe nzuri na madhubuti kulinda rasilimali za nchi.
3.Sheria ziwe kali dhidi ya wajunjaji wa sheria za nchi.
Tusiwe na negative perceptions tumuonapo foreigner,hii pia ni fursa kwa indigenous coz you can learn and make connections.
Brain drain kwa sasa haiepukiki so let's we go with it.
Kwani Watanzania hawapo China? Wamejazana tele, wewe endelea kusinzia ndani ya Nyehunge dunia kwa sasa ni kijijiWakuu Salaam,
Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.
Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.
Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele? Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...
Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema bara la africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng??? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?
Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
Mnataka muwe koloni mara ngapi mkuu?Wakuu Salaam,