Wakuu nimepata Tashtwiti kuwauliza jambo hili kuhusu hawa Wachina. I smell something fishy in the future

Wakuu nimepata Tashtwiti kuwauliza jambo hili kuhusu hawa Wachina. I smell something fishy in the future

Kuana jarida linatembea kwa kasi sana wachina wanasema wao asili yao ni Afrika na DNA inathibitisha hilo.

Kuna mdau alipost humu.
Habari hiyo ni ya upotoshaji. Hakuna jarida lolote linaloaminika au utafiti wa kisayansi unaothibitisha kwamba Wachina asili yao ni Afrika.
 
Kundi kubwa matajiri wa kicjina na wawekezaji laki 3...ndio 300k wanakuja Tanzania kuangakia fursa.....tujipange
 
Hadi rais wao naona sijui ni member humu au kuna mtu kaiba ID... XI JIN PING II
wameanza kuteka mpaka social media za kibongo..kama jamaa alivotabiri 2050 watakua wengi..alafu vichina vinapenda sana dada zetu kwahiyo itakua balaa!
Siku nilipita njia ya Mtera ile ya Dodoma - Iringa kuna binti kapandia njiani kucheki hivi nikaona kabeba kachotara ka Kichina..
Wachina wanawaachia dada zetu Shida unakuta tule tutoto mpaka vi adapt shida za kibongo hadi unawaonea huruma.
 
Wakuu Salaam,

Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.

Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.

Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele? Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...
Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema bara la africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng??? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?

Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
Kama mtu mweusi umechoka na umeacha kufikiri, umeazima weupe wafikiri kwa niaba yako kwanini wasifute kizazi chako ? Walianza kufuta majina ya asili, lugha za asili, utamaduni wa asili, vyakula vya asili na mwisho watakuja kukaa
 
Siku zote mwenye nguvu atamtawala aliye dhaifu

Na siku zote mwenye akili atamtawala mjinga

Kama sisi watu wazima tunafanya mambo ya kipumbavu na kijinga tutatawaliwa tu na mchina au mwingine yeyote mwenye akili.
 
Wakuu Salaam,

Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana.

Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa kugombania na nikiwa nimeshikilia bomba ili nisianguke, huku tumebanana kama nyanya kwenye matenga, na konda akitulazimisha kupeana mgongo, basi jirani na mimi kwa mfumo huo huo wa kushikilia bomba, kulikua na wadada warembo sana, wawili wa kichina. Ni purely Chinese, ila kidogo wanaongea kiswahili. Kilichonishangaza ni namna hao wadada walivyojichanganya nasi kuanzia ndani ya aina hiyo ya usafiri, lugha yetu na hata mavazi walivaa vitenge vya kushona.

Tashtwiti yangu ipo hapo, hivi hamuoni kwamba kwa uwepo wa wachina wengi kiasi hiki Tanzania (Africa) haitasababisha bara letu kua koloni la wachina, kuanzia kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kwa miaka michache mbele? Zingatia, kuna thread ya mshana hapa alizungumzia ujio wa wachina 300k, pia zingatia wameanza kujichanganya mitaani na vijijini na kuzaana na wabongo...
Je hii sio strategic plan ya hawa jamaa kwa miongo kadhaa mbele wakaja sema bara la africa ndio asili yao?? Je hamuoni kwamba miaka 50+ mbele ukasikia (ukizaliwa upya) Rais wa Malawi ni Xui Cheng Ping au Rais wa Kenya ni Zhengo Dong Feng??? Mara Waziri Mkuu wa Tanganyika miaka hiyo akawa Bing Yen Zhong?

Wakuu hili mnaliona? Au tuachane nayo tu!!!
upo sawa
 
Acha waje wachanganyikane na waswahili labda wataachana na ngoma "shughuli" wajikite kwenye kazi na maendeleo.
Mafuta yatajitenga na maji mswahili ataendelea na ngoma zake na kuendekeza ngono zembe huku mchina akiendelea na kazi zake mwisho wa siku yataanza malalamiko ya wachina wana miliki uchumi wa Tanzania kama ilivyo tu kwa jamii za kiasia wakati wa Nyerere,Mwinyi.

Jasiri haachi asili.
 
Mkuu influx ya Watanzanja China au Ulaya haina Impact yoyote ukilinganisha na influx yao huku kwetu.
Yaani watu wasiofika hata 1m watutishe watu 60m? Acha woga ndugu hata wangekuja 10m hawawezi kuihamisha tz na kuipeleka china bali baada ya miongo kadhaa watamezwa kama walivyomezwa wahindi na waarabu
 
Back
Top Bottom