Wakuu! Nimepita sehemu nimekuta ng'ombe kasimama juu ya bati, ile juu ya bati juu ya nyumba

Wakuu! Nimepita sehemu nimekuta ng'ombe kasimama juu ya bati, ile juu ya bati juu ya nyumba

Wakuu wallah nimeona kama nilivyowaambia lakini nilijua bila picha hamtaamini
Alikuwa kasimama peke yake juu ya bati anaangalia upande ule wa barabara halafu maajabu hakuna aliyekuwa anahangaika nae nahisi ni jambo la kawaida mtaa ule
 
Back
Top Bottom