Wakuu! Nimepita sehemu nimekuta ng'ombe kasimama juu ya bati, ile juu ya bati juu ya nyumba

Wakuu! Nimepita sehemu nimekuta ng'ombe kasimama juu ya bati, ile juu ya bati juu ya nyumba

Ulimwengu usioonekana una mambo mengi sana!!

Munguvhutuonyesha baadhi kutonyesha ukuu wake!!

Hilo ni mojawapo!!

Kuna majoka makubwa yenye miguu mingi sana!umewahi kusikia!!?yapo!!

Dhana ya nguva mzuri kama binadam mwenye mkia was samaki umewahi sikia!!?niliuliza nikaambiwa hawapo!kumbe wapo hao jamaa!!
 
Mimi leo usiku huu huu kama dakika 30 zilizopita nilikuwa road maporini huko na jamaa zangu wawili, ghafla tukashtukia paka mbele yetu, paka hawa wa nyumbani rangi nyeupe na brown ile kama light hivi.

Nmepiga full light nkiangalia naona kabisa huyu namkanyaga, ila nkakumbuka hamna kukwepa, nmepita sijasikia hata kitu.

Wote tumejikuta kimya, hakuna anayemuuliza mwenzake kilichotokea.
Ningekuwa mwenyewe ningesema nina usingizi ila wote watatu haiwezekani tukasinzia ivi.
 
Nimepita sehemu nimekuta ng'ombe kasimama juu ya bati,ile juu ya bati juu ya nyumba

Uzi bado
Picha lete tuone. Usitengeneze ya AI 😂 😂 😂
 
Mama  Dickson.....
Naona watoto waliiba sim yako....teh🤣
 
[emoji50]
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20250519_063923.jpg
 
Back
Top Bottom