Wakuu nimeshindwa kusoma hii hela??? ni elf 12 au milion 12?

Wakuu nimeshindwa kusoma hii hela??? ni elf 12 au milion 12?

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Watu wanaweza zan nazingua lakin kifupi nimechanganyikiwa sidhan kama n kweli

maana hamna ninae mdai
sifanyi kazi na sina mtu wa kuniwekea hii hela kama kweli ndio yenyewe


Iko ivi nilikopa laki 4 sehemu nilikha na kazi nayo jamaa ameniwekea amenitumia na msg ya muamala kwenda kuangalia nakuta hiyo!!

Ivi nikiila haiwezi nitokea puani
 
Rudisha pesa ya watu ndugu. Achana na hao wanaokwambia utoe. Nina ndugu yangu alijichanganya, pesa imeingia badala ya kuuliza benki, yeye akaona ameokota embe dodo kwenye michongoma. Akaitoa na kutumia kwa raha zake. Alijuta
alijutaje kwamba wakushtak??
 
Back
Top Bottom