Wakuu nimetapeliwa na mtu wa Thailand

Wakuu nimetapeliwa na mtu wa Thailand

Habari za muda huu, naomba msaada kwa anayejua namna ya kumpata mtu alienitapeli milioni karibia 15, mtandaoni, hyu bwana anasema anajishughulisha na uuzaji wa ream, tukakubaliana kua angetuma mzigo, nikamtumia hela na mzigo haujafika na wala hapokei tena simu wala kujibu sms.. kumbe alinitumia documents ambazo ni feki.. pls naombeni msaada wenu wana jf!
Tafuta mganga umroge manége yake yahamie kichwani
 
Habari za muda huu, naomba msaada kwa anayejua namna ya kumpata mtu alienitapeli milioni karibia 15, mtandaoni, hyu bwana anasema anajishughulisha na uuzaji wa ream, tukakubaliana kua angetuma mzigo, nikamtumia hela na mzigo haujafika na wala hapokei tena simu wala kujibu sms.. kumbe alinitumia documents ambazo ni feki.. pls naombeni msaada wenu wana jf!
Pumbafff kabisaa
Mtumie 15m nyingine
 
Ulitumia mtandao Gani?
 
Haibo
 
Attachments

  • 1687531678473.jpg
    1687531678473.jpg
    37.8 KB · Views: 3
Ukiwa mjinga usifanye mwenyewe biashara za kimataifa, tumia watu. Kuandika kwenyewe unaandika kama ngumbaro, ndiyo utaweza biashara za kimataifa?
Kuna kukosea kuandika, usiniletee makasiriko mm, hongera kwako kwa kua mkamilifu
 
Back
Top Bottom