Wakuu nina wazo

Una hamu ya kupigwa wewe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€hautaki hata kuomboleza
🀣🀣🀣🀣 niomboleze kuachwa?? We kuweza?? Ameniacha huku bado ananipenda, tatizo mtoto wa mama anadeka sana..!!!
Ss hivi nataka wanaume wagumu ukizingua unapigwa ila huachwi 🀣🀣🀣🀣
 
Mmeshazoeana jinsia ke kuteteana hata kwenye jambo la kijinga ahsante totoadela sio mwanamke mshenz mshenz kama wewe
Mi unadhani hata mshenzy mshenzy basi kama unavyonichukulia Mimi nasimamimia ukweli tu,ambao hata ukimuacha huyo uliyenae ukaenda kwenye sample za Adela lazima tu utapigwa kizinga,LAZIMAAA,niamini Kuna siku utanikumbuka.....hapo wanazuga tu
 
Uzuri nilishawahi kuwa mshindi kabla yake maana nlikuwa namuita gheto anajifanya mjanja kesho asubuh bila taarifa nikamuweka status mtoto mzr sana tena video tukiwa somewhere tunakula bata halafu nikauchuna dem alivyochek tu akanivutia waya akaanza kulia lia nikamwambia wewe c nakuita unazingua mara kesho huyu hapa gheto nikaisugua mpaka asubuh
 
Boss wangu Hana Hizo mbanga za kimaskini🀣🀣🀣yupo radhi akulipie kwanza hiyo frame ndio akuache
Dada acha tu, boss wako tunataniana sio wapenzi wa kweli.

Mimi namsemea huyu babe wangu aliyeniacha juzi, kwanza kaninunulia bando la mwezi, kuna mauongo kanidanganya sasa kujihami kanigeuzia kibao ili kupotezea soo lake…. 🀣🀣🀣🀣
Nimemtafuta nimpe vidonge vyake na simu kazima, siku akiwasha simu atajua hajui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nakuelewa sana brother
Usiruhusu mwanamke ambaye amevumilia umasikini wa baba yake kwa miaka mingi tangu akiwa mdogo mpaka amekua mkubwa aje kukupa presha za kumhudumia while her broke father failed.

Mcheki bimkubwa wako, mzee wako na ndugu zako wa karibu wa familia uliyotoka kwa unachopata, utaona jinsi unakuwa na furaha na moyo wako utaridhika sana.

Uzuri wa wazazi wetu katika visa vingi hawana kiasi hususa wanachotaka uwasaidie chochote kile kwao wanathamini sio kama hawa malaya.

Chochote unachomtumia bimkubwa wako au baba yako anakushukuru kutoka moyoni tofauti na malaya.

Mwanamke pekee ambaye una jukumu la kumhudumia ni mkeo mama ya watoto wako, ili kukilinda kizazi chako.

Na Mungu atakubariki!
 
Umeanza uongo sasa 🀣🀣🀣
 
Hakika mkuu
 
Mi wangu kaniacha halafu kodi ya fremu mwezi ujao 😭😭😭😭 nimelia sana

Kaninunulia bando la kuniaga kwanza la mwezi ili nipate kuingia JF kutoa machungu 🀣🀣🀣🀣 wanaume wote mlaaniwe
Na bado utalia sana
 
Sema tunagongana, kwani si wote tunaridhika?? Wee vipi??
Kuachwa kawaida, unataka ukae na mtu muda mrefu ili ugundue nini?? Kuna madini unachimba?? 🀣🀣🀣🀣
Wakoloni wenyewe walikaa wakaondoka,si eti eeh😁???
 
Nimekuelewa kaka ushauri wako ntaufanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…