Wakuu nina wazo

Huyu "dem" ndo unataka awe Mkeo... sasa kama wewe humheshimu unadhani yeye atakuheshimu akupende kama ulivyo ?
 
Hivi ujasiri wa kutoa toa pesa hivo mnapata wapi.
Au ukiwa nazo nyingi kutoa ni kitu normal...
 
We mi mwenzio nashangaa siku nzima nimetulia Uzi Mmoja,offozz ndio naenjoyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hawajui tyuu burudani tunayoipata, hebu watuache 🀣🀣🀣🀣
 
Huna akili wewe shenz ebu usinipe tabu ya kumjibu mtu mpumbavu nimechokaa
Acha hasira kapeleke pesa ya kodi, huo muda unaopoteza hapa kutupa chai ungeutumia kutafuta pesa kangaroo mweusi wee 🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣🀣 hamna mi napenda kuwapandisha presha, kumbe bado hujanisoma???

Vinyuzi vya mapenzi vinanichekeshaga sana, mijitu mizima kushindwa kujicontrol na vitu vidogo..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna siku naomba unitafute hata baada ya miaka kadhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…