Wakuu nina wazo

Wakuu nina wazo

Nipo na mahusiano na binti mmoja mrembo tu. Tukaanza mahusiano tatzo yule binti anaonekana yupo kimaslahi. Pesa za matumizo huwa nina mpa japo ana kiajira chake.

Siku moja tumepanga meeting somewhere in sinza binti akaja but anaonekana ayupo oky halafu yupo bize na simu.

Nikamuuliza vipi mbona kama aupo sawa akasema yupo oky but 4sure hakuwa sawa. Yani tupo wote lakini akili yake ipo kwengine bac akaagiza msosi akala akasema anawahi home nikamwabia sawa. Nikampa pesa kidogo akaondoka baadae akanitumia txt kuwa kuna kitu anataka tuzungumze nikamwambia sawa.

Usiku wake akaniambia kodi imeisha pia simu yake ya iphone x imeishiwa betri na ataki tena simu hiyo lengo lake ni kufanya top up apate simu nyingine nkamwambia sawa bac tutachek.

Ila baada ya hapo huyo demu amekuwa ayuko happy juzi kati tena kanikumbusha nikamwambia saiz bado sipo fresh nina majukumu kidogo yamenibana akaanza kuongea vitu vingi kwamba sijawahi mfanyia chochote kikubwa nikamwambia mbona unaharaka mahusiano yetu mbona bado machanga una haraka gani.

Basi yakaisha ila toka siku hiyo huyo dem kabadilika juzi aliniambia hana nauli ya kwenda job nikamtumia 30k hata ahsante akusema nikishawahi kumgegeda mara moja na kiukweli nilikuwa na mipango ya yeye kumfanya kama mchumba wangu ila kanishinda saiz atuongei na kwa kweli kumuacha hivi siwezi sababu ni gold diger naona nijirudi kwake kwa kumuahidi kodi upya kwake nimgonge mara ya mwisho halafu namdump mazima. Japo sikuwa na lengo hilo ila ngoja nimkomoe.
Huyu "dem" ndo unataka awe Mkeo... sasa kama wewe humheshimu unadhani yeye atakuheshimu akupende kama ulivyo ?
 
Hivi ujasiri wa kutoa toa pesa hivo mnapata wapi.
Au ukiwa nazo nyingi kutoa ni kitu normal...
 
Huna akili wewe shenz ebu usinipe tabu ya kumjibu mtu mpumbavu nimechokaa
Acha hasira kapeleke pesa ya kodi, huo muda unaopoteza hapa kutupa chai ungeutumia kutafuta pesa kangaroo mweusi wee 🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣 hamna mi napenda kuwapandisha presha, kumbe bado hujanisoma???

Vinyuzi vya mapenzi vinanichekeshaga sana, mijitu mizima kushindwa kujicontrol na vitu vidogo..!!
😂😂😂
Kuna siku naomba unitafute hata baada ya miaka kadhaa.
 
Back
Top Bottom