Nimeisoma kiundani, ahsante mkuu.Aisee.. mkuu, sikushauri.. nimesoma shule ya bweni primary. Angalau nilikua matured. Mtoto wa kike tofauti na wq kiume. Nilikua mdogo lakini jaman kilikua na vitoto vya babby class navyo. Roho inaumaje? Hapana aisee. Umbali woote ule dar to rombo tena boarding? Na chakula cha kawaida sana. Uzuri ama ubaya sisi wakubwa ndo kama tulikua responsible kusaidiana na matrons kuwaangalia. Kiwaohesha etc. Wazazi wetu walipokuja kujua haya walikasirika sana. Almanusra watuhamishe wote. Halaf kuna wengine wakawa na tabia mbovu. Neno kulawitiana nilikua hata silielewi maana yake. Nimekuja lijulia ukubwani tena advance. Boys walikua kina baadhi wana hivyo vimichezo. Kuna wengine walikua wanagukuzwa shule wanazotoka na hata oale kwetu walifukuzwa kwa kuwa walishabobea hiyo michezo. Wai wanaoma ni leisure kumbe ndo athari. Walitandikwa sana na ukafa huo mchezo kwakua masista waliamua kichachamaa. Kukatlkea tena librother linataka somea upadre kulawiti boys, likasemewa likafukuzwa. Hapa uzuri ni kwamba system ya shule ilikua imesimama vizuri. Je, shule unayotaka mpeleka iko vzr uongozi? Na saa zingine hao hao viongozi ndo wabaya. Naomba juniour abebe kidumu mfagio kwa sasa. Acha kutaka kumtesa mtoto. Acha kbs. Kwangu ni ukatili
Ni maisha kubadilika tu, watoto wasasa pia ni wana akili kwa kiwango chao, inategemea unawapima kwa angle ipi. Watoto wa sasa wanaweza tumia vitu na kuelewa mambo mengi tofauti na watoto wa miaka 20 iliyopita, ni teknolojia.Sijafamya maisha magumu vyote ninavoeleza nimepitia na watoto wasoma hzo english medium na hakuna utofauti licha ya watoto kupata everything Ila ujinga wao ni mkubwa kuliko wa st kayumba, pia kutembea huwa ni mazoezi na inafanya akili ichangamke tofauti na Sasa watoto Kama kuku wa kisisasa Wana kila kitu Ila ni wabovu. Pia ka kwenu ni vilaza hata umpeleke english medium gani toto litakuwa tu kilaza kuliko umulemaze asijue vtu vya msingi Bora umfundishe kukomaa na azoee maisha ya kawaida.
So usiseme shule za kayumba ni ukale wakati zimetufikisha mahali na tumetimiza ndoto zetu. Usasa usiwe chaka la kukwepa responsibilities zetu kwa watoto
Kuna atleast Na nimeishukudua. Mwaka 2013 kuna jamaa aliachwa na mkewe akiwa Na watoto wawili. Mmoja mitatu mwingine moja Na nusu. Jamaa akahangaika nao mwenyewe kwa miezi miwili ikamshinda. Alikuja shuleni kwetu analia nisaidieni ili niweze tafuta hela hata ya kuwalisha. Leo Mdogo yupo la nne mkubwa la tano. Tusingekubali tukampokea mtoto ambae tuliweka mgongoni tukabembeleza wala asingefika hapo leo. Na mama ameshajaribu kuwaua watoto Mara mbili wakiwa shuleni so angewapeleka kwa bibi wangekua marehemu leo. Tumewalea vizuri ila atlest kulikua Na sababu maalum. Ndo maana namshauri afike hill darasa. Nina uzoefu wa miaka 7 tayari. Na nimewalea kwa kadri Mungu alivyoniwezesha.Hakuna cha atlest, mzazi anapaswa kuwa ba mtoto wake muda wote
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Naimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.
Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna.
Hivyo basi nimeazimia 'junior' akapambane na maisha ya boarding ktk umri huo! Je, athari za kimalezi kwa kumpeleka mtoto mdogo boarding school ni kubwa kuliko faida kama inavyoelezwa na wengi? Ukweli ukoje?
Ikumbukwe sina option zaidi ya hiyo vinginevyo basi 'junior' achukue kidumu na mfagio avuke barabara jambo ambalo sijaliafiki.
Karibuni wakuu mnipe mawazo yenu kwa mliowahi kumbana na situation hii, pia wenye uzoefu mbalimbali. (huyu 'junior ni binti).
Mkuu hoja hii ndio inayonidhoofisha, lakini ni kweli kwamba shule hizo za boarding hazina watoto, na je wote wamekuwa na tabia mbaya ama kupoteza 'bond'na wazazi wao?
BIG MISTAKE, BIG MISTAKENaimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.
Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna.
Hivyo basi nimeazimia 'junior' akapambane na maisha ya boarding ktk umri huo! Je, athari za kimalezi kwa kumpeleka mtoto mdogo boarding school ni kubwa kuliko faida kama inavyoelezwa na wengi? Ukweli ukoje?
Ikumbukwe sina option zaidi ya hiyo vinginevyo basi 'junior' achukue kidumu na mfagio avuke barabara jambo ambalo sijaliafiki.
Karibuni wakuu mnipe mawazo yenu kwa mliowahi kumbana na situation hii, pia wenye uzoefu mbalimbali. (huyu 'junior ni binti).
U see,,asipokuelewa ww mwenye mfano hai hatokaa aeleweeeAisee mimi nilisoma kuanzia darasa la kwanza mpaka la tano boarding, tena nje ya nchi wazazi walikuwa wanalipa karo kubwa ila tulikuwa tunapata tabu sana pale shule, tunakula vibaya, hatushibi, yani tulikuwa kama tuko kwenye kituo cha kurekebisha tabia za watoto, ila ikifika siku ya kuja wazazi tunapewa msosi wa nguvu wazzi hawashtukii mchezo.
Na tukirudi nyumbani hata kujiexpress hatuwezi ila shule zikikaribia kufunguliwa basi wanaona tunanyongonyea tu. Tabu nilizopata pale niliapa mwanangu mdogo hatokuja kusoma boarding nikiwa hai na uwezo. Namshukuru baba yangu siku moja alikuja shule ghafla tena muda wa lunch akatukuta tunapiga msos mbovu sana ndiyo ilikuwa pona yangu.
hata hapo pia.ninrisk kipind cha ubaleh ndio wawe karibu.kuna mada inasambaa mtandaon sheh mmoja anaeleza kuna kumlea mtoto na kumdhamini mtoto. kumdhamini ni kupeleka.boarding akiwa na shida wewe kupeleka mahitaj tu.atalelewa na matron kwa style anayoitaka yeye.akija kukua na yeye kwako hana athar atakudhamin vilevile,kulea ni kukaa naye kuona ukuaj wake na wewe kumshape katika tabia unayoitaka,Nashauri mtoto anatakiwa kwenda boarding kuanzia form 1, chekechea hadi anapomaliza darasa la 7 anahitaji malezi ya wazazi wake. Atapata wapi upendo wa wazazi kama tangu anaanza shule yeye yupo boarding?
huu nao mtihani mwengine.ma ulaya huko ukiambiwa shule fulan ni ya boarding schools ujue boarding kwelikwel walim wapo strict kwelikweli wana ma shahad ya sycholgy huko. sasa hapa bongo mzaz na mafolen haya kaindoka saa kum na nusu afjairi.kurudi ni masaa yote kaondoka mtoto sa kulala karudi amelala.mtoto analelewa na dada na bongo movie na wadada hawa wanavozipenda sinema zetu wallah ni hatar,jiran yetu mmoja baba engineer mama banker kutoka ni masaa kum ya usiku kurud lukwili.dada mmakonde kiswahil hajjui vizur yule mtoto si alichelewea kuongeaKama unampeleka boarding hakikisha hiyo shule ina waalimu wa malezi ya watoto waliosomea na kubobea, hutojuta.
Akipata shule nzuri ya boarding ni bora kuliko akae nyumbani wakati wazazi wenyewe mnaondoka nyumbani saa 11 asubuhi na kurudi saa 5 za usiku.
Ni bora aende boarding atapata elimu bora na extra curricular activities kuliko kukaa nyumbani na house girl wakiangalia tamthilia za bongo movie.
Ha ha ha mkuu yaaani kote ni hatari. Umuache nyumbani ni yaleyele.huu nao mtihani mwengine.ma ulaya huko ukiambiwa shule fulan ni ya boarding schools ujue boarding kwelikwel walim wapo strict kwelikweli wana ma shahad ya sycholgy huko. sasa hapa bongo mzaz na mafolen haya kaindoka saa kum na nusu afjairi.kurudi ni masaa yote kaondoka mtoto sa kulala karudi amelala.mtoto analelewa na dada na bongo movie na wadada hawa wanavozipenda sinema zetu wallah ni hatar,jiran yetu mmoja baba engineer mama banker kutoka ni masaa kum ya usiku kurud lukwili.dada mmakonde kiswahil hajjui vizur yule mtoto si alichelewea kuongea
hatari sana, gay on processNaimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.
Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna.
Hivyo basi nimeazimia 'junior' akapambane na maisha ya boarding ktk umri huo! Je, athari za kimalezi kwa kumpeleka mtoto mdogo boarding school ni kubwa kuliko faida kama inavyoelezwa na wengi? Ukweli ukoje?
Ikumbukwe sina option zaidi ya hiyo vinginevyo basi 'junior' achukue kidumu na mfagio avuke barabara jambo ambalo sijaliafiki.
Karibuni wakuu mnipe mawazo yenu kwa mliowahi kumbana na situation hii, pia wenye uzoefu mbalimbali. (huyu 'junior ni binti)
Shule ya bweni kwa mtoto wa hatua ya 'nursery' ni nyumbani, kwa baba na mama yake.Naimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.