Wakuu, nishaurini kuhusu Shule ya bweni kwa mtoto wa nursery

Naimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.

Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna.

Hivyo basi nimeazimia 'junior' akapambane na maisha ya boarding ktk umri huo! Je, athari za kimalezi kwa kumpeleka mtoto mdogo boarding school ni kubwa kuliko faida kama inavyoelezwa na wengi? Ukweli ukoje?

Ikumbukwe sina option zaidi ya hiyo vinginevyo basi 'junior' achukue kidumu na mfagio avuke barabara jambo ambalo sijaliafiki.

Karibuni wakuu mnipe mawazo yenu kwa mliowahi kumbana na situation hii, pia wenye uzoefu mbalimbali. (huyu 'junior ni binti).
Melete shule ya masista iko Songea. St Agnes chipole English medium. Ina darasa la saba kwa mara ya kwanza. Kwa darasa la nne inaongoza kimkoa. Kitaifa iko kwenye 10bora
 
Mbona wewe hujaitaja hiyo shule..? Mshauri wewe... USIDHANI KISA KAOMBA USHAURI BASI TUMWAMBIE TU..!!! INATEGEMEA ANATAKA USHAURI WA KITU GANI...

Nijibu hili,.... Mtu akija kukuomba ushauri wa nini afanye ili aweze kum'baka au kumuua binti yako utampa..!!???
Halafu akumbuke mtoto ni wa jamii sio wake binafsi ndo maana hatuwezi ona unampoteza mtoto kisa hana maamuzi afu tukae kimya No hapo itakuwa si sawa.
 
Maisha saivi yamebadilika sana ,nakushauri mkuu huyo mtoto mtafutie hata shule nzuri yakutwa aende nakurudi hata kwa school bus ,katika utoto huo anahitaji malezi na mapenzi toka kwa wazazi,huko boarding mnakopeleka watoto chini yamiaka 10 wanakwenda kujifunza mamb yaajabu tu utashangaa wanakojulia,.kaa nae mpe malezi ,mfunze nidham na dini , boarding school zipo atasoma tu akishakua mkubwa kiasi
 
Mkuu nina hisia kwamba kizazi kinachokuja baada ya kizazi chetu kitakuwa dominated na vijana wenye ufahamu mkubwa wa mambo, uwezo mzuri wa kujieleza na kujiamini, ambao wengi hawaandaliwi ktk shule zetu hizi.
Achana na hisia.
Mlee mtoto kwenye njia aipasayo.
Siku hizi vitu vimerahisishwa.
Ebu nakuombea huyo mtoto unipe Mimi nikae nae ntamfundisha nyumban na ndo itakua boarding.

Hivi unamuamini vipi matron/patron?
Boarding mtoto akifika form one period.
Tena Kama hamjui shule za kawaida zinabuild confidence sana Kama mzazi anajiweza.
Kama ishu ni kingereza peleka mtoto British council daily atajua na hapo nyumbani muwe mnakiongea.
Leeni mtoto I lost my classmate due to boarding.
Natamani kuandika gazeti
 
Maisha saivi yamebadilika sana ,nakushauri mkuu huyo mtoto mtafutie hata shule nzuri yakutwa aende nakurudi hata kwa school bus ,katika utoto huo anahitaji malezi na mapenzi toka kwa wazazi,huko boarding mnakopeleka watoto chini yamiaka 10 wanakwenda kujifunza mamb yaajabu tu utashangaa wanakojulia,.kaa nae mpe malezi ,mfunze nidham na dini , boarding school zipo atasoma tu akishakua mkubwa kiasi
Mkuu hii option ya shule ya kutwa na school bus ingekuwepo nisingefikia kuwaza hivyo.
 
Wengine wazazi wote wawili wamesoma boarding... Yaani wakikutana PIPA na MFUNIKO , mambo huwa hivi.. ya kupeleka mtoto wa chekechea boarding
Kweli watu tumetofautiana imagine mzazi ulipata tu hela ya kubadilisha mboga unajifanya billgate hutaki tena kulea wanao unawasokomezea boarding, sasa si Bora uache kuzaa ufunge kizazi Ili u enjoy maisha
 
Kabisa yani. Watu tumesoma kidumu na mfagio tokea nursery hadi university. Sasa kama mzazi hufatilii maendeleo ya mwanao unatagemea mwalimu peke ake ndio afanye kazi hawezi kutoboa kidumu na mfagio. Kwangu mimi bora avuke barabara aende kidumu na mfagio kuliko kupeleka boarding mtoto wa 4 sijui 4 yrs
Mimi nimesoma kidumu na fagio na ilikuwa mwendo wa kutembea distance tena Ili nijengea ufahamu na kujitegemea mapema, tofauti na watoto wa school bus kichwani empty set aisee hata vitu vidogo hawaviwezi kabisa,hata performance mbaya tu kuliko wa kidumu, na ndio maana sikuhizi watoto Hadi wanakua hawawezi kujitegemea kisa spoon feeding in everything.
 
Melete shule ya masista iko Songea. St Agnes chipole English medium. Ina darasa la saba kwa mara ya kwanza. Kwa darasa la nne inaongoza kimkoa. Kitaifa iko kwenye 10bora
Tena shule za masista huwa na roho mbaya mtoto atateseka mpaka ajute ikiwemo kifinyo. Shule kuongoza kitaifa sio tija ya kufanya isolation na kumtesa mtoto,maisha ni zaidi ya shule
 
Mkuu naona hili jambo halijakubariki hata kidogo sawa pia na kwa wachangiaji wengi, niseme tu kwamba i do wish all the best for my kid na najaribu kufikiria njia iliyo sahihi ya yeye kuwa 'a strong lady in future' hivyo ninaona kukosa kwake elimu bora ktk hatua ya mwanzo inaweza pelekea asiwe mshindani mzuri hapo baadae, kama nilivyobainisha awali, option ya boarding imekuja tokana na kwamba mazingira yangu ya sasa hayana shule hizi za mchepuo wa Kiingereza ambazo ndio target yangu yangu.
 
Naimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.

Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna.

Hivyo basi nimeazimia 'junior' akapambane na maisha ya boarding ktk umri huo! Je, athari za kimalezi kwa kumpeleka mtoto mdogo boarding school ni kubwa kuliko faida kama inavyoelezwa na wengi? Ukweli ukoje?

Ikumbukwe sina option zaidi ya hiyo vinginevyo basi 'junior' achukue kidumu na mfagio avuke barabara jambo ambalo sijaliafiki.

Karibuni wakuu mnipe mawazo yenu kwa mliowahi kumbana na situation hii, pia wenye uzoefu mbalimbali. (huyu 'junior ni binti).
Kama kweli uko serious kuomba ushauri basi nakushauri acha kabisa kumpeleka mtoto mdogo huko. Utamharibu na atakosa malezi ya msingi ya wazazi wake.
 
Mkuu naona hili jambo halijakubariki hata kidogo sawa pia na kwa wachangiaji wengi, niseme tu kwamba i do wish all the best for my kid na najaribu kufikiria njia iliyo sahihi ya yeye kuwa 'a strong lady in future' hivyo ninaona kukosa kwake elimu bora ktk hatua ya mwanzo inaweza pelekea asiwe mshindani mzuri hapo baadae, kama nilivyobainisha awali, option ya boarding imekuja tokana na kwamba mazingira yangu ya sasa hayana shule hizi za mchepuo wa Kiingereza ambazo ndio target yangu yangu.
Elimu ni zaidi ya kingereza background nzuri hujengwa kuanzia chini regardless ya. Language inayotumiwa, Mimi na watoto nawajua wanasoma english medium hawana jipya tofauti na kayumba tena huko medium Wana uzito. So mleeni mtoto vzuri kwa ku motivate kupenda kusoma, Mimi nimesoma kayumba na nilifaulu vizuri tu nakuanza secondary Napo nikatusua na nilikutana na english medium na hawakuona ndani niliwaacha nyuma Sana tu kimasomo aisee. Hafu boarding huwa Kuna pyschological torture mtoto hukutana naye, pia tabia mbaya za kisagaji huwa zipo Sana ma boarding na Mimi nilishuhidia.
 
Mkuu naona hili jambo halijakubariki hata kidogo sawa pia na kwa wachangiaji wengi, niseme tu kwamba i do wish all the best for my kid na najaribu kufikiria njia iliyo sahihi ya yeye kuwa 'a strong lady in future' hivyo ninaona kukosa kwake elimu bora ktk hatua ya mwanzo inaweza pelekea asiwe mshindani mzuri hapo baadae, kama nilivyobainisha awali, option ya boarding imekuja tokana na kwamba mazingira yangu ya sasa hayana shule hizi za mchepuo wa Kiingereza ambazo ndio target yangu yangu.
Mkuu inaonekana hujaja kuomba ushauri Ila kutuchora huku. Sababu ushamake decisions Kwamba uko tayari kumpeleka boarding. All the best sababu mtoto ni wako, akiteseka huko ama aharibikiwe wewe Kama mzazi ndio utaona impact yake.
 
  • Thanks
Reactions: T11
Mkuu hii option ya shule ya kutwa na school bus ingekuwepo nisingefikia kuwaza hivyo.
Unaposema hakuna option ya kutwa umekuja kuuliza nini?

Mpeleke bweni, mtoto si wako bwana
 
Naimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.

Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna.

Hivyo basi nimeazimia 'junior' akapambane na maisha ya boarding ktk umri huo! Je, athari za kimalezi kwa kumpeleka mtoto mdogo boarding school ni kubwa kuliko faida kama inavyoelezwa na wengi? Ukweli ukoje?

Ikumbukwe sina option zaidi ya hiyo vinginevyo basi 'junior' achukue kidumu na mfagio avuke barabara jambo ambalo sijaliafiki.

Karibuni wakuu mnipe mawazo yenu kwa mliowahi kumbana na situation hii, pia wenye uzoefu mbalimbali. (huyu 'junior ni binti).
Kwa kifupi malezi ya mtoto ni zaidi ya kujua kingereza weka kwenye mizani huku kingereza na huku upendo wa Mzazi kipi Bora, umri huo ndiyo Wakati wa kuwa nae Karibu sababu hawezi kukuelezea shida zake mpaka uzipekenyue mwenyewe
 
Naimani afya zenu ni njema kabisa wakuu, kuhusu mengineyo inshallah Allah atafanya wepesi.

Wakuu 'junior' wangu sasa amefikia umri wa kuanza shule, changamoto inayonikabili ni kuhusu upatikanaji wa shule hizi za mchepuo wa kimombo ktk mazingira niliyopo kwa sasa, huduma hiyo hamna.

Hivyo basi nimeazimia 'junior' akapambane na maisha ya boarding ktk umri huo! Je, athari za kimalezi kwa kumpeleka mtoto mdogo boarding school ni kubwa kuliko faida kama inavyoelezwa na wengi? Ukweli ukoje?

Ikumbukwe sina option zaidi ya hiyo vinginevyo basi 'junior' achukue kidumu na mfagio avuke barabara jambo ambalo sijaliafiki.

Karibuni wakuu mnipe mawazo yenu kwa mliowahi kumbana na situation hii, pia wenye uzoefu mbalimbali. (huyu 'junior ni binti).
Achilia mbali nursery. Hata shule ya msingi sio sawa mtoto kuwa boarding.
 
Hakuna kosa kubwa kama la mzazi kumpeleka mtoto chini ya miaka 14 boarding school. Hutapata muda wa kum- mould katika malezi uyapendayo. Nakupa pole sana.
 
Kama unampeleka boarding hakikisha hiyo shule ina waalimu wa malezi ya watoto waliosomea na kubobea, hutojuta.

Akipata shule nzuri ya boarding ni bora kuliko akae nyumbani wakati wazazi wenyewe mnaondoka nyumbani saa 11 asubuhi na kurudi saa 5 za usiku.

Ni bora aende boarding atapata elimu bora na extra curricular activities kuliko kukaa nyumbani na house girl wakiangalia tamthilia za bongo movie.
Hakuna shule kama hiyo Tanzania. Operators wa shule binafsi wanaajiri mbumbu ku- maximize profit. Wanaajiri matron wanaojua kufinya na kuchapa vitoto makofi.
 
Mkuu hoja hii ndio inayonidhoofisha, lakini ni kweli kwamba shule hizo za boarding hazina watoto, na je wote wamekuwa na tabia mbaya ama kupoteza 'bond'na wazazi wao?
Unashauriwa, uamuzi na utekelezaji ni wako.
 
Back
Top Bottom