Wakuu Tehran inaungua muda huu na lango la gereza mashuri la Evin limelipuliwa

Wakuu Tehran inaungua muda huu na lango la gereza mashuri la Evin limelipuliwa

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870

20250623_182958.jpg

20250623_120651.jpg

20250623_120658.jpg

Screenshot_20250623-121020.png

20250623_125010.jpg

Screenshot_20250623-160401.png
 
Kulikuwa kuna taarifa kuwa viongozi wengi wa Iran baada ya kusoma vita ya Israel kuwa wanashambulia maeneo yanayolindwa sana na kuua viongozi wakuu wa majeshi nk na sehemu zinazolindwa na maeneo ya kiraia yenye mahandaki yaani bunkers sana wakaona wakimbilie magereza ambako ni eneo walillodhani Israel halina mpango nayo.Sababu wafungwa ni watu ambao hata Israel haoni kama wana tishio kwake

Majeshi yq Israel yakagundua shimo panya wamekimbilia wameshusha mzigo wa makombora gerezani.Tusubirie kusikia vifo kibao vya viongozi wa Iran waliokimbia mahandaki wakakimbilia gerezani wametwangwa huko huko
 
Kulikuwa kuna taarifa kuwa viongozi wengi wa Iran baada ya kusoma vita ya Israel kuwa wanashambulia maeneo yanayolindwa sana na kuua viongozi wakuu wa majeshi nk na sehemu zinazolindwa na maeneo ya kiraia yenye mahandaki yaani bunkers sana wakaona wakimbilie magereza ambako ni eneo walillodhani Israel halina mpango nayo.Sababu wafungwa ni watu ambao hata Israel haoni kama wana tishio kwake hivyo

Majeshi yakagundua shimo panya wamekimbilia wameshusha mzigo wa makombora .Tusubirie kusikia vifo kibao vya viongozi wa Iran walikimbia mahandaki wakakimbilia gerezani wametwangwa huko huko
🤣🤣
 
Wanasakwa nchini kwao wenyewe 🤔
 
Back
Top Bottom