Halafu Israel hata hawapakaniHuo utawala wa Iran unaong'ang'ania kutengeneza nyuklia na kulilia kuifuta Israel uondolewe tu, ni utawala wenye falsafa za kijinga.
Iran anapenda kununua kesi isiyomhusu
Halafu Israel hata hawapakaniHuo utawala wa Iran unaong'ang'ania kutengeneza nyuklia na kulilia kuifuta Israel uondolewe tu, ni utawala wenye falsafa za kijinga.
Samia atapata kisingizio cha vita.Hii ikiendelea dunia nzima italipa gharama kupitia bei za mafuta. Viongozi wa Afrika watapata visingizio
Msitutishe, mafuta na gesi vimejaa tele duniani. Hata hapa bongo gesi imejaa tele, Uganda kuna mafuta.Ngoja mpandishiwe bei za daladala muanze kulia tena humu
Na bei ya Mchele ikipanda mtasema sasa inahusiana nini na vita yao?
Ila mdogo mdogo mtaelewa na kwa sasa kenueni meno
Ndani ya Israel leo na umeme umekataHalafu Israel hata hawapakani
Iran anapenda kununua kesi isiyomhusu
wamekuwa kama iraq wakati ule ilikuwa inabondwa huku waziri wake wa habari akigeuka kituko kwa kauli zake za kuteketeza wavamiziKhameni amesema Israel and US will pay heavy price
Ni sawa lakini hii vita inaweza kuleta shida. Iran ni kama wale madogo hawana nguvu lakini kwenye ugomvi ata akipata jiwe anarusha tu.Kiufupi Iran hii vita akichukulia serious Israel ajipange vizuri maana wao kurusha vitu vyao hovyo hovyo kuelekea Israel sio shida kwaoHuo utawala wa Iran unaong'ang'ania kutengeneza nyuklia na kulilia kuifuta Israel uondolewe tu, ni utawala wenye falsafa za kijinga.
The cost of warsKinachofanyika huko sipendelei kabisa dah...ukiitaja Tehran nna historia napo
Ova
Hii ni Israel leo na umeme umekatawamekuwa kama iraq wakati ule ilikuwa inabondwa huku waziri wake wa habari akigeuka kituko kwa kauli zake za kuteketeza wavamizi
SawaMsitutishe, mafuta na gesi vimejaa tele duniani. Hata hapa bongo gesi imejaa tele, Uganda kuna mafuta.
Aaah hii ya sasa sio man Iran ujue ni kama hana cha kupoteza yeye kurusha vitu zake Israel bila mipangilio hawazi sasa si ndio vita itakuwa mbaya zaidi kwa maana na Israel atajibuIsrael akipigwa
Unasikia piga mbwa huyoo
Akirudisha kichapo ooooh amani ni bora
Khameni amesema Israel and US will pay heavy price
Ni kweli. Wao wanarusha tu ili mradi yatadondokea Israel.Ni sawa lakini hii vita inaweza kuleta shida. Iran ni kama wale madogo hawana nguvu lakini kwenye ugomvi ata akipata jiwe anarusha tu.Kiufupi Iran hii vita akichukulia serious Israel ajipange vizuri maana wao kurusha vitu vyao hovyo hovyo kuelekea Israel sio shida kwao
Tena falsafa mbovu mno ya sera za mambo ya nchi za njeHuo utawala wa Iran unaong'ang'ania kutengeneza nyuklia na kulilia kuifuta Israel uondolewe tu, ni utawala wenye falsafa za kijinga.
Hatari. Sasa mambo ya Hamas na Gaza Strip siyasii tena zaidi ya wiki mbili sasa!Kulikuwa kuna taarifa kuwa viongozi wengi wa Iran baada ya kusoma vita ya Israel kuwa wanashambulia maeneo yanayolindwa sana na kuua viongozi wakuu wa majeshi nk na sehemu zinazolindwa na maeneo ya kiraia yenye mahandaki yaani bunkers sana wakaona wakimbilie magereza ambako ni eneo walillodhani Israel halina mpango nayo.Sababu wafungwa ni watu ambao hata Israel haoni kama wana tishio kwake
Majeshi yq Israel yakagundua shimo panya wamekimbilia wameshusha mzigo wa makombora gerezani.Tusubirie kusikia vifo kibao vya viongozi wa Iran waliokimbia mahandaki wakakimbilia gerezani wametwangwa huko huko
Kuna mtangazaji kayaita makombora ya Iran kuwa ni "dancing missiles yanayocheza na kunengua viuno kunengua kwenda Israel kuonyesha unenguaji tu"Ni kweli. Wao wanarusha tu ili mradi yatadondokea Israel.
vitani kuna kupiga na kupigwa mjubaHii ni Israel leo na umeme umekata
Kama hivi mpaka umeme hakunaKuna mtangazaji kayaita makombora ya Iran kuwa ni "dancing missiles yanayocheza na kunengua viuno kunengua kwenda Israel kuonyesha unenguaji tu"
Kuondelewa utawala wa Iran na kuwekwa mpya ni sawa lakini what if hii ni spirit ya wa Iran kwa ujumla?(what if).Ni kweli. Wao wanarusha tu ili mradi yatadondokea Israel.
Trump aongeze nguvu huo utawala wa Ayatola uondolewe mapema.
😂😂😂😂 Iron dome zinasemaje?vitani kuna kupiga na kupigwa mjuba