Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
Uzuri ya Rwanda nliona na jirani kabisa na home. Vita sikia kwa jirani sio kwako.Mabibi zetu walikuwa wanakimbia na vifurushi na vitu vingine vikatelekezwa, watu wanasahau hadi kwao.Mpaka leo hii kuna watu hawajarudi na wengine hawajui kwao ni wapi maana wamezaliwa hapa bongo.Vita hapana bila kujali mtu ni pro Iran au pro IsrealAcha tu nikikumbuka yale ya Rwanda na kuhudumia wakimbizi ni kipindi kugumu sana kile sita kisahau na vita siyo ya kuombea kabisaaa.