Wakuu Tehran inaungua muda huu na lango la gereza mashuri la Evin limelipuliwa

Wakuu Tehran inaungua muda huu na lango la gereza mashuri la Evin limelipuliwa

Hivi vitu sio vya kuombea wajomba kama hii mambo itaendelea nadhani kila mtu ata pay heavy price kama wasemavyo wakuu wa Iran

Pray for peace
Ni swala la kuomba vita ikome kwakweli madahara yake ni makubwa sana kuliko tunavyo andika humu mitandaoni, vilema,wakimbizi,vifo hasa kwa wasio na nguvu ya kushika mtutu, inasikitisha sana.
 
Ujinga ujinga tuu..
Hao iran nao kama wameshindwa waseme au kama vipi watafute watu kama kina osama kama nane hvi wafanye kazi...

Wakishindwa watume nyuklia bomu ambalo litalipua dunia nzima.. tufe alafu tuone mambo yatakuaje hapo badae kama tutazaliwa upyaa au laa

Au waachie wafungwa wote wawasafilishe kwa ndege waende israel wakajilipue huko huko..

Au irani itengeneze bomu la biological wepon ambalo lina kirusi cha kuua mapafu alafu watume lile bomu huko israel lilipuke watu wapate huo ugonjwa wafe..

Nao israel ipate hasira ipige nyuklia bomu wairan wote wafe alafu huko irani watu wote wakifa tanzania tupelekwe kule kama nchi ya amani ikaanzishe maisha..

Hapo kila member wa jf ambaye alitoa mawzo na kusapoti wanakua wakuu wa mikoa
Poor brain 🙄
 
Kinachofanyika huko sipendelei kabisa dah...ukiitaja Tehran nna historia napo

Ova
Nadhani kwa manufaa ya raia ni vema Iran ingesalimu amri. Wanaoendesha mapambano wao na familia wanaweza kujificha au kukimbia nchi lakini raia wanapoteza maisha au kuwa vilema for life. Haya ni mambo ya hovyo kabisa.
 
Hawa waisrael wanaokimbia nchi hawafai kusalim amri?
 
wamekuwa kama iraq wakati ule ilikuwa inabondwa huku waziri wake wa habari akigeuka kituko kwa kauli zake za kuteketeza wavamizi
Nakumbuka propaganda zake ilikuwa hatari? Kuna wakati aliomba hukumu yake ya kifo itekelezwe sijui iliishia wapi.
 
Ni swala la kuomba vita ikome kwakweli madahara yake ni makubwa sana kuliko tunavyo andika humu mitandaoni, vilema,wakimbizi,vifo hasa kwa wasio na nguvu ya kushika mtutu, inasikitisha sana.
Vita sio,ukiangalia mambo yalivyo Gaza au sehemu yoyote penye machafuko(S.Sudan,Republic of central Africa,DRC nakuendelea) utakaa tu uombe pawe na amani.Vita hapana sio kitu cha kujivunia kama wanadamu
 
Hawa waisrael wanaokimbia nchi hawafai kusalim amri?
Tatizo ni kwamba sasa Iran anapigwa na mataifa mawili na mimi sioni uwezekano wowote wa Iran kushinda. Marekani walizuga kwamba wanatafakari kwa wiki mbili kumbe wapi haikupita hata wiki wakapiga!
 
Tatizo ni kwamba sasa Iran anapigwa na mataifa mawili na mimi sioni uwezekano wowote wa Iran kushinda. Marekani walizuga kwamba wanatafakari kwa wiki mbili kumbe wapi haikupita hata wiki wakapiga!
Mpaka sasa hii vita ni piga nikupige na hakuna dalili ya yeyote kuoneshwa kukata tamaa isipokua mtandaoni ndio tuna peana propaganda na kuvutana wenyewe kwa wenyewe
 
Vita sio,ukiangalia mambo yalivyo Gaza au sehemu yoyote penye machafuko(S.Sudan,Republic of central Africa,DRC nakuendelea) utakaa tu uombe pawe na amani.Vita hapana sio kitu cha kujivunia kama wanadamu
Acha tu nikikumbuka yale ya Rwanda na kuhudumia wakimbizi ni kipindi kugumu sana kile sita kisahau na vita siyo ya kuombea kabisaaa.
 
Report ya israel kwamba nuke site zilizishambuliwa na marekani hazijaathirika ni ni kweli.

Nimesoma Jerusalem Post wanasema wataalam wameona activity zinaendelea huko ingawa kwa taadhari, hivyo wanasema IDF wanalishughulikia hilo na watalipua kwa njia za kawaida ikibidi, ikiwa marekani hawata rejea kumaliza kazi waliyoianza.

Kumbe Bunker buster za marekani nazo siyo kitu kwa nuke site za Iran.

Ndiyo maana Iran wamesema hawataki mazungumzo, saaa wata oparate kam North Korea, watatengeneza nuke bila ruhusa ya mtu yeyote na watafanya majaribio yao bila uangalizi wowote na watayatumia kijilinda ipasavyo.

Wasiwasi wangu nini kitatokea USA wakishindwa kuyalipua hayo maandaki.

Dunia itawaona na wao hawana uwezo hivyo, tutakuwa hatuna mbabe kila nchi itaamua itakavyo.

Hapo ndiyo dunia itakuwa imekaribia mwisho sasa.
Mkuu hawa jamaa wanatafuta sababu ya kuifuta irani kabisa katika mpangilio wa kidunia na kuwaacha wawe wanapigana wenyewe kwa wenyewe
 
Hii ikiendelea dunia nzima italipa gharama kupitia bei za mafuta. Viongozi wa Afrika watapata visingizio
Rubio kasema Iran wakichezea kuzuia upitishaji WA mafuta hapo the Strait of Hormuz ni Sawa na kujiua "to commit suicide"
 
Ujinga ujinga tuu..
Hao iran nao kama wameshindwa waseme au kama vipi watafute watu kama kina osama kama nane hvi wafanye kazi...

Wakishindwa watume nyuklia bomu ambalo litalipua dunia nzima.. tufe alafu tuone mambo yatakuaje hapo badae kama tutazaliwa upyaa au laa

Au waachie wafungwa wote wawasafilishe kwa ndege waende israel wakajilipue huko huko..

Au irani itengeneze bomu la biological wepon ambalo lina kirusi cha kuua mapafu alafu watume lile bomu huko israel lilipuke watu wapate huo ugonjwa wafe..

Nao israel ipate hasira ipige nyuklia bomu wairan wote wafe alafu huko irani watu wote wakifa tanzania tupelekwe kule kama nchi ya amani ikaanzishe maisha..

Hapo kila member wa jf ambaye alitoa mawzo na kusapoti wanakua wakuu wa mikoa
Kati ya siku bayo umeongea point ni Leo.

Yaani kilio changu Kila kukicha ni kuona nuclear weapons zikitumika ningali hai.
 
Kulikuwa kuna taarifa kuwa viongozi wengi wa Iran baada ya kusoma vita ya Israel kuwa wanashambulia maeneo yanayolindwa sana na kuua viongozi wakuu wa majeshi nk na sehemu zinazolindwa na maeneo ya kiraia yenye mahandaki yaani bunkers sana wakaona wakimbilie magereza ambako ni eneo walillodhani Israel halina mpango nayo.Sababu wafungwa ni watu ambao hata Israel haoni kama wana tishio kwake

Majeshi yq Israel yakagundua shimo panya wamekimbilia wameshusha mzigo wa makombora gerezani.Tusubirie kusikia vifo kibao vya viongozi wa Iran waliokimbia mahandaki wakakimbilia gerezani wametwangwa huko huko
Inaonakana kuna taarifa nyingi za Iran zinavujishwa kwenda Israel
 
Kwa muda mfupi madhara yataonekana baadaye hali itarudi kawaida Hii ilitokea wakati wa vita vya iraki na kuwaiti na Libya
Lakini baada ya vita kwisha hali irudi kawaida
Mkuu Wee akili zako ziko na shida kabisa , unajifanya una hati miliki ya hii nchi kwamba wewe Kila kitu ni kutetea tu imradi imetaja serikali,huu ni upuuzi,mtoa hoja kasema kwenye hii vita kutakuwa na madhara,wewe unatetea kwa kudai yatakuwa ya muda mfupi.

Sasa kwako muda mfupi ni upi,kwani madhara ya muda mfupi sio madhara?

Ndugu acha kujifanya wewe ndo Kinga ya mambo mabaya yote ya serikali, huna hati miliki ya hii nchi,
 
Back
Top Bottom