Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Siasa ni ngumu sanaSiyo domo mkuu, kwani atakuwa manufaa hata kwako na familia yako mnaoishi uingereza kihalali. 😆😆😆😆
Huyu alikuwa anaunga mkono Brexit, lakini alikuwa hana dira baada ya hapo.
Halafu mimi namuona kama wale wa far right
Suala la Uhamiaji nalo ni pana sana halitaki papara.
Uzalendo mkali sana mara nyingi huleta matatizo na chuki baina ya watu
Ila nafikiri hata kujitoa kwenye jumuiya ilikuwa ni makosa makubwa
Mambo mengi tumekosa
Ila mimi ni Conservative ingawa nilichagua Labour wakati wa Blair