Wakuu Tehran inaungua muda huu na lango la gereza mashuri la Evin limelipuliwa

Wakuu Tehran inaungua muda huu na lango la gereza mashuri la Evin limelipuliwa

Hahaha hapa kwetu Amani wanayo ccm wao ndio wanaamua watupe kiasi gani.

Ila naamini one day yes. Nasi tunaweza kuifungua Keko, Ukonga na mangine tukagawana mitaa kama kule mitaa ya De Prince, HAITI.
Hapo mkuu unataka kupatana na mimi sasa yaan kwenye kugawana miji hapo ndo penyeweee dadek...

Humuuu tuuu
 
Ni swala la kuomba vita ikome kwakweli madahara yake ni makubwa sana kuliko tunavyo andika humu mitandaoni, vilema,wakimbizi,vifo hasa kwa wasio na nguvu ya kushika mtutu, inasikitisha sana.
Kwa hali ilipofikia sidhani kama upatanisho wa kusitisha vita unaweza kua na maana yoyote, sidhani. Kwa hali ilivyo ili Israel iwe salama, is a MUST Iran regime should be changed or else, jamaa hawa lazima watakuja lipiza kisasi. Siombei vita kuendelea na wala sipendi kua na upande BUT najaribu kuweka uhalisia. Kama Ayatollah aliishaga tamka sio mara moja or mara mbili kwamba Israel should he wiped up na walikua hawajawahi kupigana na remember it was Israel aliyeisaidia sana Iran kwenye vita vyake na Iraq miaka ya 80, baada ya vita Ayatollah anataka kuiondoa Israel kwenye ramani? Salama ya Israel na kuweka utawala mpya wa Iran, sioni zaidi ya hapo
 
Hahaha kina masela wakitoka Ukonga na Keko tuna jitawala.
Oaaa ni full kukichafua mpka kieleweke ....alafu mkuu hv kila jela kina kuwa kuna upande wa wanawake na wanaume au wanawake wana magereza yao
 
Ujinga ujinga tuu..
Hao iran nao kama wameshindwa waseme au kama vipi watafute watu kama kina osama kama nane hvi wafanye kazi...

Wakishindwa watume nyuklia bomu ambalo litalipua dunia nzima.. tufe alafu tuone mambo yatakuaje hapo badae kama tutazaliwa upyaa au laa

Au waachie wafungwa wote wawasafilishe kwa ndege waende israel wakajilipue huko huko..

Au irani itengeneze bomu la biological wepon ambalo lina kirusi cha kuua mapafu alafu watume lile bomu huko israel lilipuke watu wapate huo ugonjwa wafe..

Nao israel ipate hasira ipige nyuklia bomu wairan wote wafe alafu huko irani watu wote wakifa tanzania tupelekwe kule kama nchi ya amani ikaanzishe maisha..

Hapo kila member wa jf ambaye alitoa mawzo na kusapoti wanakua wakuu wa mikoa
Mfe halafu muone?
 
Oaaa ni full kukichafua mpka kieleweke ....alafu mkuu hv kila jela kina kuwa kuna upande wa wanawake na wanaume au wanawake wana magereza yao
Ngoja nitamuuliza Msela wangu jumapili nikienda kumcheck.

Make kama wamechanganywa, lazima kutakuwa na clinic za kina mama na watoto bila kusahahu mawodi ya kina mama wajawazito.

Naamini hayatakuwa mabaya kama ya huku kwetu, ulizingatia wale ni raia wa jamuhuri ya Tamganyika lazima wapewe kipaumbele.
 
Ndio mana sijawahi ona wafungwa wa kike hata kwa uniform mkuu...

Kwanza mimba anapataje kule au akifungea alifungwa akiwa na mimba mybe
 
Mkuu ukute ww ni miongoni mwa watu waliokua wakinihukuku kutokana na jina langu ila sasa umegundua how bright am i eeeeeh
Sijakukumu hata siku moja si unakumbuka tulivyokuwa tuanawakanya watoto wa kiume wenye tabia ya kupenda kuonewe huruma.
 
Sijakukumu hata siku moja si unakumbuka tulivyokuwa tuanawakanya watoto wa kiume wenye tabia ya kupenda kuonewe huruma.
Oooooh nakumbuka nakumbuka...
Daah hi mada ya watoto wa kiume kupenda kuonewa huruma huwa inafanya niwe na hasira kali sana natamani kurukia mtu nimchape ngumi za mgongo au mbavu changa
 
Oooooh nakumbuka nakumbuka...
Daah hi mada ya watoto wa kiume kupenda kuonewa huruma huwa inafanya niwe na hasira kali sana natamani kurukia mtu nimchape ngumi za mgongo au mbavu changa
Eti mtoto wa kiume anajifanya anaumwa ili apime watu wanampenda kiasi gani.

Huwa nakumbwa na kichefuchefu nikiona tabia hii.
 
Eti mtoto wa kiume anajifanya anaumwa ili apime watu wanampenda kiasi gani.

Huwa nakumbwa na kichefuchefu nikiona tabia hii.
Maninaaaa kabisa nae anajiita shababi...
Yaani mi kama hawa huwa nawachora..
Kuna hiyu mmoja et anajisifia kabisa

"" Mimi mama anajua nikila papai natapika kwanini juisi mlichanganya na papai"""

Nikamchana live live nikamwambia kuna siku tatia papai jinga wewe...
Mtoto wa kiume unasema kabisa et "" mama anajua""" faken..

Kaka napata na hasira ujue
 
Eti "mama ***, ***...."

Nyambafu sana huyo jamaa.

Kwa nini hujamtia ngumi za kutosha mkuu?
 
Nilitaka kumpiga ila nikakumbuka anaweza kuja kusema kwa mama yake...

Just imagine toto la kiume linalalamika et hatujamchangia pesa ya kununulia keko ya Barthday...

Mi mtoto kama hii huwa naichana live tuu namwambia hata wale mangosho walianza hv hv
 
Khameni amesema Israel and US will pay heavy price
Mkuu hii ni wiki ya pili kumbuka hawa ni watu wa mikwala Toka enzi na enzi....Toka mwaka Jana Iran ilipigwa na hakuna kitu Wanafanya zaidi ya mikwala tu
 
Kulikuwa kuna taarifa kuwa viongozi wengi wa Iran baada ya kusoma vita ya Israel kuwa wanashambulia maeneo yanayolindwa sana na kuua viongozi wakuu wa majeshi nk na sehemu zinazolindwa na maeneo ya kiraia yenye mahandaki yaani bunkers sana wakaona wakimbilie magereza ambako ni eneo walillodhani Israel halina mpango nayo.Sababu wafungwa ni watu ambao hata Israel haoni kama wana tishio kwake

Majeshi yq Israel yakagundua shimo panya wamekimbilia wameshusha mzigo wa makombora gerezani.Tusubirie kusikia vifo kibao vya viongozi wa Iran waliokimbia mahandaki wakakimbilia gerezani wametwangwa huko huko
😆😆😆😆

Aisee kataa unyongee,hii dunia Ina wababe
 
Ila humu Jf Kuna maneno mengiii sana.

Kuna maGREAT THINKERS humu waliwahi sema Myahudi hawezi kuichokoza Iran ataishia kupiga pembeni tu.
 
Back
Top Bottom