hivi bado yupo hai?Khameni amesema Israel and US will pay heavy price
hivi bado yupo hai?Khameni amesema Israel and US will pay heavy price
Kobaaz mibusha haoIla humu Jf Kuna maneno mengiii sana.
Kuna maGREAT THINKERS humu waliwahi sema Myahudi hawezi kuichokoza Iran ataishia kupiga pembeni tu.
Hata katika vitabu vya historia mkuu
Aliemxhokoza israel hakubaki salama baadae.
Farao, nebukadnezq, nimrod, yule fala wa beirut, mafala wa hamas, nazi, etc
Viongozi wa Africa wanaweza ahirisha hadi chaguzi maana watasema no donor fund za kugharamia uchaguzi.Hii ikiendelea dunia nzima italipa gharama kupitia bei za mafuta. Viongozi wa Afrika watapata visingizio
Hahaha 😂, wanakera mno.Nilitaka kumpiga ila nikakumbuka anaweza kuja kusema kwa mama yake...
Just imagine toto la kiume linalalamika et hatujamchangia pesa ya kununulia keko ya Barthday...
Mi mtoto kama hii huwa naichana live tuu namwambia hata wale mangosho walianza hv hv
Tuko radhi kukenua mimeno Yetu tukiwa Na njaa kuliko kukenua mimeno Yetu tukiwa na shibe. Israel kung'uta Hao mbusii.Ngoja mpandishiwe bei za daladala muanze kulia tena humu
Na bei ya Mchele ikipanda mtasema sasa inahusiana nini na vita yao?
Ila mdogo mdogo mtaelewa na kwa sasa kenueni meno
Sawa kabisaTuko radhi kukenua mimeno Yetu tukiwa Na nojaa kuliko kukenua mimeno Yetu tukiwa na shibe. Israel kung'uta Hao mbusii.
adriz
Daah linapigwa bomu hadi ndege wanakimbia kuhofia maisha yao hii ni kiboko..Ndani ya Israel leo asubuhi na umeme umekata
Ngoja Nigel faragh na reform Yake waingie wawanyooshe😆😆😆Sawa kabisa
Ila kwenye vita hakuna ushindi zaidi ya hasara
Bila shaka atatumia non conventional weaponsKhameni amesema Israel and US will pay heavy price
Tayari Iran kapiga kambi ya jeshi QatarNgoja Nigel faragh na reform Yake waingie wawanyooshe😆😆😆
Huyu domo hana loloteNgoja Nigel faragh na reform Yake waingie wawanyooshe😆😆😆
Siyo domo mkuu, kwani atakuwa manufaa hata kwako na familia yako mnaoishi uingereza kihalali. 😆😆😆😆Huyu domo hana lolote
Nani ampe kiti 😂😂
Hio sentesi ya mwisho iwafikie majasusi wote wa jf wanaowakilisha iran/israel huku namtumbo Tz.Ujinga ujinga tuu..
Hao iran nao kama wameshindwa waseme au kama vipi watafute watu kama kina osama kama nane hvi wafanye kazi...
Wakishindwa watume nyuklia bomu ambalo litalipua dunia nzima.. tufe alafu tuone mambo yatakuaje hapo badae kama tutazaliwa upyaa au laa
Au waachie wafungwa wote wawasafilishe kwa ndege waende israel wakajilipue huko huko..
Au irani itengeneze bomu la biological wepon ambalo lina kirusi cha kuua mapafu alafu watume lile bomu huko israel lilipuke watu wapate huo ugonjwa wafe..
Nao israel ipate hasira ipige nyuklia bomu wairan wote wafe alafu huko irani watu wote wakifa tanzania tupelekwe kule kama nchi ya amani ikaanzishe maisha..
Hapo kila member wa jf ambaye alitoa mawzo na kusapoti wanakua wakuu wa mikoa