Wakuu Tehran inaungua muda huu na lango la gereza mashuri la Evin limelipuliwa

Wakuu Tehran inaungua muda huu na lango la gereza mashuri la Evin limelipuliwa

1750679536281.jpg
 
Nimeuliza, mtu anajiandikia mada na kujijibu kwa ID tofauti tofauti ili kupata nini?
Tukuulize Ww mwenye kujua I'd za watu wote humu, mtu fulani akiandika mada kumhusu mtu mwngn wakati ndo huyo huyo anapata faida gn
 
Ahhaahhah

Na al jazeera sasa hivi wanalilia eti waache kuipiga Iran

Wameashaanza kulia mkuu
Israel bado wanaendelea kuwatandika za uso navyoona baadae wataingiza kikosi cha miguu kuanza kusafisha kila kitu maana kwa ndege wataua raia wengi na hilo sio lengo lao. Sasa hivi wanataka regime change wampe nchi mtoto wa Shah wa Iran.
NB. naanza kuona ule uvamizi wa Hamas wa 7th October 2024, ni kama Mossad waliujua ila waliuachia ili kupata sababu ya kusafisha mashariki ya kati kuanzia kwa mbwa hadi mmiliki wa mbwa 😀 😀 😀 😀
 
Nini sasa hii. Yaani unalipua gereza ili wafungwa watoke. Hii ni dhambi kwa Mungu kabisa.
 
Wafungwa ni maadui wa setikali ya Iran, wakiachwa wanaenda kuwaua viongozi wa Iran siyo Israel.

Iran regime ni kama Yetu tu hapa, kesi za uonevu na huko jela kukomoana, unadhani hao wakiachwa huru wataisaidia!serikali?

Ndio maana Israel inalipua milango ya magereza kuwaacha huru kikoleza moto.

Na kwasasa inaonekana Mawasiliano ya ndani ya Iran yameingiliwa na Israel hata mobiluzation kijeshi inawasumbua., kila post wanarusha makombora hovyo hovyo ili mradi yanaenda Israel.

Kwa mujibu wa gazeti la Israel jerusalem post.
Duuuh hi habari ni mbaya zaidi...
Inamana kuna wananchi wa iran wanaona poa kile wanachofanya Israel mkuu...

Kweli mambo ni moto aiseee
 
Duuuh hi habari ni mbaya zaidi...
Inamana kuna wananchi wa iran wanaona poa kile wanachofanya Israel mkuu...

Kweli mambo ni moto aiseee
Kule kama hapa tu, wafungwa wa kisiasa wengi sana na kila!anayepinga anawekwa jela.

Wananchi wanaulizana marekani watarudi lini na mzigo wa kutosha?

Ukiwanyanyasa raia siku yakikufika, huku manzese kwetu linakuwaga shangwe sio la kitoto.

Kwa maneno mengine wafungwa wanaweza kuvaa uniform za IDF na kukinukisha, hilo huwa ni jeshi la!akiba la wapinzani wa serikali .

Uliona kule Syria? Hakuna mfungwa tena. Na Assad akasalim amri.
 
Duuuh hapo nimekupata vyema... Sema mkuu hapa kwetu amani tosha....
 
Duuuh hapo nimekupata vyema... Sema mkuu hapa kwetu amani tosha....
Hahaha hapa kwetu Amani wanayo ccm wao ndio wanaamua watupe kiasi gani.

Ila naamini one day yes. Nasi tunaweza kuifungua Keko, Ukonga na mangine tukagawana mitaa kama kule mitaa ya De Prince, HAITI.
 
Back
Top Bottom