Wakuu Tehran inaungua muda huu na lango la gereza mashuri la Evin limelipuliwa

Kulikuwa kuna taarifa kuwa viongozi wengi wa Iran baada ya kusoma vita ya Israel kuwa wanashambulia maeneo yanayolindwa sana na kuua viongozi wakuu wa majeshi nk na sehemu zinazolindwa na maeneo ya kiraia yenye mahandaki yaani bunkers sana wakaona wakimbilie magereza ambako ni eneo walillodhani Israel halina mpango nayo.Sababu wafungwa ni watu ambao hata Israel haoni kama wana tishio kwake

Majeshi yq Israel yakagundua shimo panya wamekimbilia wameshusha mzigo wa makombora gerezani.Tusubirie kusikia vifo kibao vya viongozi wa Iran waliokimbia mahandaki wakakimbilia gerezani wametwangwa huko huko
 
🤣🤣
 
Wanasakwa nchini kwao wenyewe 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…